Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 1,787
- 2,665
Sio Wameru tu, hata hao Wanaoitwa Waarusha ni Wakibosho tu waliowahi mapema kuishi Arusha mjini miaka ya 1800 mwanzoni
Wamasai wanawaita Waarusha LARUSA na kule kibosho kuna ukoo wa LARUSA uliotangulia Arusha mjini enzi hizo
Ni kama Wanyamwezi na Wasukuma
Wamasai wanawaita Waarusha LARUSA na kule kibosho kuna ukoo wa LARUSA uliotangulia Arusha mjini enzi hizo
Ni kama Wanyamwezi na Wasukuma