Wameru ni wamachame asilimia 100%

Wameru ni wamachame asilimia 100%

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,129
Reaction score
24,429
Jamaa ni hao hao tu

Lugha ndo hiyo hiyo

Majina ni hayo hayo

Uchapakazi ndo huo huo

Ukali ni ule ule

Hii inafanya hata wameru na wamachame kushindwa kutofautisha accent zao haswa kwa wazee wao

Mfano bibi mzee wa kimachame akiongea au bibi mzee wa kimeru akiongea hapo jamii hizi mbili zinashindwa tofautisha kabisa lugha na lafudhi ya hao wazee maana ni lugha hiyo hiyo tu.
 
Vipi kuuu

kuhusu matumizi ya jani la tengeru? Wotee wanatumia sawa?
 
ndiyo hapo ujue haya yanayoitwa makabila ni artifial i.e yalitengenezwa na watawala walioanzisha hii nchi wakoloni, kwa maana wamachame wanahesabika kama ''kabila'' la kichaga lkn wameru siyo wachaga na hiyo chaos ni nchi nzima ...
 
Mjomba unaongea usichokijua mimi ni Mmachame mimi na mmeru ni tofauti kuanzia Koo mpaka taratibu za kimila na uongozi mtu ambaye na Mmeru wanafanana sana ni Wasiha
Sio kweli bablai....Wameru na wamachame wanafanana zaidi kuliko hata wasiha

Wasiha ni zao la wamachame na wameru
 
ndiyo hapo ujue haya yanayoitwa makabila ni artifial i.e yalitengenezwa na watawala walioanzisha hii nchi wakoloni, kwa maana wamachame wanahesabika kama ''kabila'' la kichaga lkn wameru siyo wachaga na hiyo chaos ni nchi nzima ...
Ndo hapo sasa
 
Back
Top Bottom