Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
Nimecheka sana Chalii! Unakutana na demu shabiki wa hip hop, tena zile ngumu, mpk zile ngoma wewe hujazielewa, yeye kazielewa kitambo!Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!
Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji40] [emoji40]Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!
Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Napenda kusoma vitabu, na Nilibahatika kusoma kitabu cha Oprah Winfrey cha What I know for sure kuna sehemu namnukuu akisema Don't be a woman that needs a man. Be a woman a man needs.
Wanawake that's some serious take away point.
Kwani usafi kama usafi mkuu una gharama?Aiseeeeeh,
Hapa sielewi, maana mwanamke anapaswa awe vizuri.
Wewe kama Mwanaume, hauna hela acha porojo, mwanamke lazima awe msafi , ajipambe , apendeze.
Ila, issue ya kuolewa siyo lazima kwa mwanamke kama anajitambua kwa anachokifanya.
Any way, ukilamba chumvi ukakuta pachafu usilete kilio maana, wewe ndiye hutaki kumhudumia mwanamke katika usafi.
mbona wngine tupo simple ..no makuu!watulivu na bado mnatuzingua?
mnatakaje?
Honestly napenda mke wangu aje kuwa simple, strong and figher...Mwenyezi Mungu nijalie! But ni vigum wanawake wa kizazi hiki kuepuka kujiremba hata kule vijijini siku hizi nao wanajiremba tu.
Bado hujapata mwanaume, umepata "mvulana". Anyway ngoja nijaribu bahati kuona kama yaliyomo yamo.mbona wngine tupo simple ..no makuu!watulivu na bado mnatuzingua?
mnatakaje?
Pata picha ya Lara one kwa mfano.Demu anatakiwa awe mshamba mshamba fulani hivi!
Inatakiwa akiangalia Muvi za kutisha anakukumbatia Kumbatia "Baby Toa Bhana Mi Ntaota".....au "au Maskin si Atamuua Sasa"_Sio Mtu Anaangalia Picha la Mavampire Anashabikia "Bora Life,Linakiherehere Sana!
Mi Napenda Mtu Nikimwambia "Leo Chelsea Anacheza na Man U"....yeye aniambie "Kumbe Kombe La Dunia Limeanza?".........._
_Sio Demu Anakutajia Mpaka First Eleven Ya BURNLEY...
DEMU GANI HUYOO!!!??
Wengi humu wanasema wameolewa kumbe wamejimuvuzisha