Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mungu anakuonaNi watoto wa yule aliyetunga wimbo maarufu wa ccm wakati wa kampeni!!
Nimejificha balaa, mungu hawezi niona labda angekua Mungu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mungu anakuona
Naomba kuuliza Mungu ana macho mangapi na ana macho ya aina gani kuona kila mtu? Mungu anasikia watu wangapi kwa sekunde?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mungu anakuona
Sijui ni kiribatumbo, utapiamlo daaaaaah cc MziziMkavuTatizo gani la kiafya hapo?
Kila mtu teh!Naomba kuuliza Mungu ana macho mangapi na ana macho ya aina gani kuona kila mtu? Mungu anasikia watu wangapi kwa sekunde?
Hawa wawapi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inawezekana ni Rombo au Kibosho....masuala ya mbege hayo bila proteins (just a joke)