Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,851
Mwizi wako hatoki mbali sema ningekusaidia ila mtaalamu wa kuwanyoosha hao wezi ninae mjua kafariki mwaka jana...ndugu/rafiki anaweza kuwa Mwizi wako/mchora ramani wa misheni yote ya kuiba
Kwa biashara zetu ndogo ndogo ukiweka hivyo vitu unafilisika sekunde cost zinakua juu sana.Tatizo waafrika wote wezi ndiyo maana mhindi anasimama mwenyewe katika biashara yake,sisi tunaachia vijana na hata stock taking hatufanyiMkuu hauna walinzi?
Hauna Bima?
Hauna system yoyote ya ulinzi?
Kwa biashara zetu ndogo ndogo ukiweka hivyo vitu unafilisika sekunde cost zinakua juu sana.Tatizo waafrika wote wezi ndiyo maana mhindi anasimama mwenyewe katika biashara yake,sisi tunaachia vijana na hata stock taking hatufanyi
huyo anaekuibia atakua anakujua vizuri
Mkuu hauna walinzi?
Hauna Bima?
Hauna system yoyote ya ulinzi?
Kwa biashara zetu ndogo ndogo ukiweka hivyo vitu unafilisika sekunde cost zinakua juu sana.Tatizo waafrika wote wezi ndiyo maana mhindi anasimama mwenyewe katika biashara yake,sisi tunaachia vijana na hata stock taking hatufanyi
Mkuu yani umeweka mahali 20mil alafu hauwekei ulinzi kwaajili ya kuogopa gharama!!kweli ndio maana watu wengine wanaendelea kuwa maskini.
cc mashana jr
Pole sana meku nilisha kutana na izo dhoruba za kuibiwa najua maumivi yake labda ela uwe ukuipata kwa halali
Mimi nilichofanya kwa wezi wangu mungu na mimi ndo tunajua ukitegemea awa police wetu utapoteza ela ingine tu nenda front mwenyewe man ata kama itagarimu maisha ya watu anza na wafanyazi unaowahisi achana na mambo ya mganga wala kumuachia mungu simama kiume meku we na roho yako usitegemee chochote nakuakikishia ukifanya ivyo itawapata wezi wako ila na wewe uwe vizuri usiwe mbongo movie
Aisee navojua polic ccm unaweza ukawa na mkanda mzima wa cctv ukawajua wezi ila polisi pia wakazungua sasa dawa yao ni mmoja mzee ungekuwa unafanya biashara takatifu nikueleza sehemu tuwapigie albadir kudadeki ila kwa vile biashara yako haiko kivile yaani mambo ya kileo mm nakushauri vuka bahari tumjaze mtu tumbo au tumueke panya tumboni akienda toilet haja kubwa anatoka akimaliza tuu anaingia ni pm mkuu ila km uko tayari kuvuka bahari siku mbili nyingi utapata matokeo
kabla hujafungua tena wewe ofisi yako ina geti la namna gani ni kama yale ya kkoo ya kuvuta juu au yale mageti ya zamani
pili inawesekana hawa wezi wa kuvunja maflemu wanaconection na baadhi ya mapolice siyo waaminifu coz huu ndo mchezo wao kurudishana nyuma nashangaa huu mchezo sijawai kusikia hata mmoja kukamatwa ingawaje nishawai sikia wanapatikana mwananyamala manjnju kama unatokea kwenda chama ya tandale eneo la kati pale sana sana nasikia watu wanalalamika kila siku wanaibiwa ipo haja ya kuwaamisha mapolice wa dsm wawatapanye mikoani na wamikoani waje DSM
kuna jamaa yangu aliibiwa mzigo wa m10 mitaa ya komakoma barabarani kabisa tena siku hiyo TWANGA walikuwa wanapiga mango ni enzi ya CLUB JACALANDA vs UHURU watu hawalali mpk kuchee lkn wajomba walijichukulia vitu km vyao alienda police lkn police wala hawajaijali kesi yake majibu ni kama hayo tu ya kuhudhi na kukatisha tamaa
alichofanya akaachana nao akabadili mfumo wa geti kutoka kama yale ya kkoo na kuweka ya kizamani pia akaweka lock za mtindo fulani awataweza kufungua labda waje na moto wa gesi pili akanunua kufuri za kupiga makelele wakichokonoa tu hiyo mikelele yake hatari akanitafuta nikampeleka moro HUKO KOLELO kwetu tukafanya vitu flan amazing Mwaka wa tatu sasa hakuna mambo ya kijinga