Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 928
- Thread starter
- #41
Lakini si kulikuwa na watu wanafunga safari mpaka nyumbani kwake kumshawishi agombee Urais..? wameishia wapi wale watu ...
Wale walitengenezwa na yy mwenyewe.
Lakini si kulikuwa na watu wanafunga safari mpaka nyumbani kwake kumshawishi agombee Urais..? wameishia wapi wale watu ...
Tujiandae tu kwa msiba wa kitaifa
Alichokua anajaribu kufanya EL ni uwekezaji ktk siasa.sasa limebuma.mitaji aliyokopa kushnei. Nadhan asubiri kufa ili aje awekewe maua ya dhahabu
Sio mbaya tuombe uzima ili agombee tena Awamu ya sita mwaka 2025-2030.
Vipi hali yake jamani?
Sasa na wewe kwa upumbavu wako,ulitaka aje atuibie?????Asubiri miaka mingine,ajipange tena
Nasikia anahamia ACT wazalendo
Sio mbaya tuombe uzima ili agombee tena Awamu ya sita mwaka 2025-2030.
Sasa hapa unataka kuwapa watu kazi ngumu! Waanze kupanda bodaboda toka mbeya kurudisha hela ambayo wameshakula? Wasameheni tuu ndo siasa hizo. Angalia kule S.Sudani watu wanavyoteseka, sababu ni siasa tu.kama vipi watu wawe waungwana wamrudishie hela zake huyu mzee zimuuguze uguze kidogo maana hali yake kiafya sio nzuri