Wamemtia hasara kubwa sana Lowassa

Wamemtia hasara kubwa sana Lowassa

Team yke edo sio wa2 wa plan za chinichini wengi waropokaji 2 wakipanga mikakati siri zinavuja.....walijua hela ndio fimbo yao sasa wa2 wamekula hela na urais kakosa.....cjui hali yke nw presha inapanda presha inashuka.

Mkuu Tweenty4seven, Jasusi Apson ndio aliyemmaliza Lowassa..hawa watu ni hatari sana.
 
ela si kila kitu ktk maisha then walidanganywa na tafiti za magazeti na taasisi mbalimbali kuwa lowassa anakubalika ndani na nje ya ccm kingine hawakuwa na plan B walikuwa na place ya lowassa kuingia madalakani tu awakujua kuwa mpaka lowassa afike madalakani kuna channels anatakiwa kupitia ni kweli amepata hasira kubwa sana ukilinganisha na watangaza nia wenzake

sasa kumeshapambazuka atuitaji taa kuwaona walikuwa na lowassa kwa mapenzi ya kweli au kwa kumchuna pesa zake.
 
lowasa wenu ndo kwishney hivyo hana jipya tena sasahiv wimbo ni magufuli na ukawa
 
Nasoma tu koment najua kuna wabunge wengine wakilipwaa mafao ya ubunge watawekeza kwenye uchaguzi,tujiandae kwa misiba ya kitaifa presha haitowaacha

Sio hivo kuna wengine sasaivi wanajua kusoma alama za nyakati mkuu.
 
Lowasa is the best ever na hata Kama hata Kama hatakuwa rais naomba mjuwe wazi kuwa kivuli kinaishi na ccm wajue wametuonyesha ukanda na sintokuwa mzalendo nikiwaficha kuwa wameleta ukabila
 
Lowassa mission zake nyingi huwa hazifanikiwi kwa mfano Arusha mjini alimuweka Batilda akaangukia pua, Arumeru akamuweka mkwewe Sioyi akaangukia pua vile vile, silaha yake kubwa ni hela ila hana mikakati mizuri ya ushindi anasahau kuwa pesa sio kila kitu. Kama kuna wagombea waliochaguliwa kiulaini kupeperusha bendera ya CCM basi Magufuli ni kama alimsukuma mlevi vile hajatumia gharama.

Jamaa kaokota embe kwenye msufi hakua na makeke.
 
Hakuna bifu aliyechaguliwa ana sifa. Na wanasiasa mtambue kuwa Watanzania wamebadilika sana, pesa yenu watakula na kura hawatawapigia. Hongera ccm kwa kupata mgombea na kuidhihirishia dunia kuwa "ushindi bila rushwa inawezekana" Hakika mmetuletea heshima Tanzania. Na watu wote tujifunze, tuikatae rushwa.

Kama ni maamuzi magumu basi wamefanikiwa.unakumbuka mwenyewe aliwahi kusema "hakuna anayeweza kuyazuia mafuriko kwa mikono, pia akasema hakuna wa kumkata. Sasa sijui hawa waliomkata wametoka wapi?
 
Furahini tu jamaa ameahidiwa kitalu cha gesi kurudisha pesa yake
 
Kilichobaki sasa baada ya KUKATWA kuipasua ccm vipande -vipande
 
Back
Top Bottom