Wamemtia hasara kubwa sana Lowassa

Wamemtia hasara kubwa sana Lowassa

The biggest Loser in the history of this country . He won the Battle BUT lost the War. Kaanza kuomba kura kwa wananchi wakati muda bado. Ni sawa na mtu anotaka kuagiza gari ya gharama Japan halafu akaanza kulipa ushuru Tra wakati gari yenyewe ata hajanunua.

Lakini si kulikuwa na watu wanafunga safari mpaka nyumbani kwake kumshawishi agombee Urais..? wameishia wapi wale watu ...
 
Kusema kweli sikuwahi kufikiria hadi leo kutakuwa na watu wanaoweza kuwa na mawazo mafupi kiasi cha kushindwa kuelewa mambo hadi wanasema uraisi uwe ni wa kununua kwa mwenye fedha nyingi au kupeana kwa wanaofahamiana!

Katika ahli ya kawaida lowasa alitakiwa awe mahabusu kwa kuvunja katiba ya nchi, wizi na ufisadi.

Eti wangempa wamwone, kwa kuwa ametumia fedha na muda mwingi!. Wehu!.
 
Huyu lowassa angeyumbisha sana nchi, kwa kawaida wasingempa hata fomu tu,
Lowassa mwizi fisadi, nyuma yake kuna genge la mchwa na nzige wenye uchu na wasio na uchungu hata kidogo wa nchi wala wanyonge wa nchi hii,
Na kigenge Chao hakizidi watu 10, hawa jamaa wanatakiwa wakamatwe mara moja na wafikishwe mahakamani au wanyongwe kabisa,
 
Bifu lilianza kwenye Kikao cha Halmashauri kuu pale Lowassa alipojipanga kujibu madai ya Richmond kwa kumhusisha Rais kuwa alikuwa anajua kila kitu, kipindi hicho anamkabili Rais wajumbe wenzie wa NEC walikuwa wameacha On simu zao ili waandishi wasikie kila kitu kesho yake wakairipoti, jk nae akalipa kwa kuja na Kuvuana magamba. 2011 iyo ndo vita ikapamba moto

Jk aliwajibu haovwatoa ripoti "mwacheni atajikaanga kwa mafuta take mwenywe" sasa ndio naelewa jk alimaanisha mini?
 
Kati ya watia nia ya urais Lowassa ndie aliongoza kwa uekezaji kwenye dhamira yake kuliko wote 42.

1. Kuanzia mda aliotumia kusaka urais alianza mapema kuliko wote na alifanikiwa kujenga mazingira mazuri.

2. Misaada aliyotoa kwenye nyumba za ibada kama misikitini na makanisani.

3. Kwenye harambee mbalimbali

4. Mikutano ya bodaboda.

5. Gharama za mikutano ya kutangaza nia ni babkubwa kuliko wote.

Apa CCM wangeangalia na kumpa ata miaka 5 tukaona angewafanyia
nini watanzania.

Siamini kabisa kama atakubali kua ndio basi Iwe amekosa lazima kuna maamuzi magumu atayafanya.

Sio mbaya tuombe uzima ili agombee tena Awamu ya sita mwaka 2025-2030.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Na mapenzi huwa yanatengenezwa kwa kuonyesha ukaribu na watu na zawadi za hapa na pale kitu ambacho Edo alikifanya na kuweza kurudisha imani kubwa sana kwa wananchi wengi sana waliokuwa wamepotezaga imani na yeye...Na alikiri kuwa amebadilika sana na amekuwa ni mtu mwenye hofu ya Mungu (kumbuka alienda kutubu Israel) so kuendelea kumtuhumu Edo kuwa ni fisadi si sawa maana hayo yote aliyafanya zaman na tazama amefanywa kuwa mpya....Na amin usiamin Lowasa yupo na wapiga kura wengi mno kuasi kwamba akisema anahamia chama kingine chochote atatikisa mno kama si kuingia ikulu kabisa.
 
Team yke edo sio wa2 wa plan za chinichini wengi waropokaji 2 wakipanga mikakati siri zinavuja.....walijua hela ndio fimbo yao sasa wa2 wamekula hela na urais kakosa.....cjui hali yke nw presha inapanda presha inashuka.
 
Kati ya watia nia ya urais Lowassa ndie aliongoza kwa uekezaji kwenye dhamira yake kuliko wote 42.

1. Kuanzia mda aliotumia kusaka urais alianza mapema kuliko wote na alifanikiwa kujenga mazingira mazuri.

2. Misaada aliyotoa kwenye nyumba za ibada kama misikitini na makanisani.

3. Kwenye harambee mbalimbali

4. Mikutano ya bodaboda.

5. Gharama za mikutano ya kutangaza nia ni babkubwa kuliko wote.

Apa CCM wangeangalia na kumpa ata miaka 5 tukaona angewafanyia
nini watanzania.


Siamini kabisa kama atakubali kua ndio basi Iwe amekosa lazima kuna maamuzi magumu atayafanya.
Mie nilidhani anaendeleza falsafa ya KUTOA NI MOYO, na kanisani kwetu kuna harambee tunataka kumwalika maana ana moyo wa utoaji
 
Fedha za wizi hupotea bila kujua zimepoteaje.
Ndio ishakua ivo, kama alichukua kwa njia ambazo si sahihi, zimepotea katika njia ambayo si sahihi.
 
Sasa na wewe kwa upumbavu wako,ulitaka aje atuibie?????Asubiri miaka mingine,ajipange tena
 
Kama wewe unauchungu kwa kukosa kwake,mwiteni muumpe uongozi wa familia yenu na uone atakavyowapiga
 
Back
Top Bottom