Wamemtia hasara kubwa sana Lowassa

Wamemtia hasara kubwa sana Lowassa

Asee mimi nampongeza ameitikisa ile ngome iliyojipanga kurisishana uongozi kama wa kifalme vile. Hongera Lowasa uwepo wako umesababisha tupate kitu imara
 
Lowassa Hajapata Hasara Yeyote.Gharama Zote Alizo2mia Ni Ufadhili Kutoka Kwa Mafisadi Wenzie.Ili Mwenzao Atakapoingia Ikulu Waweze Kufanya Ya Kwao Kiulaini.
Labda Arudi Tu Kwa Mafisadi Wenzie Kuwapa Feedback Kua "The Deal Is Dead" Na Biashara Wakereketwa Wameigeuza Biashara Kichaa Msingi Kulewea Faida Kungonokea!
 
[Alli Choki] CCM wabaya, walimtosaa Lowasa eeh Lowasa [wote] kaenda kuliwa na Ngwena! [Choki] eeeh mama na wena twendeni wote tukawaone [wote] wana wa Pepetaa wana wa pepeta!!!. Siyo mimi huo ni utunzi wa Ali Choki, wimbo; BINAADAM WABAYA.
 
Back
Top Bottom