Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 928
Kati ya watia nia ya urais Lowassa ndie aliongoza kwa uekezaji kwenye dhamira yake kuliko wote 42.
1. Kuanzia mda aliotumia kusaka urais alianza mapema kuliko wote na alifanikiwa kujenga mazingira mazuri.
2. Misaada aliyotoa kwenye nyumba za ibada kama misikitini na makanisani.
3. Kwenye harambee mbalimbali
4. Mikutano ya bodaboda.
5. Gharama za mikutano ya kutangaza nia ni babkubwa kuliko wote.
Apa CCM wangeangalia na kumpa ata miaka 5 tukaona angewafanyia
nini watanzania.
Siamini kabisa kama atakubali kua ndio basi Iwe amekosa lazima kuna maamuzi magumu atayafanya.