Wamekomaje hakuna chabo wala kibomu

Hiyo tisa... kumi tulipangwa darasa moja wanafunzi wa mwaka wa mwanza Civil... wa pili Electrical na wa tatu mechanical... yaani anaanza wa electrical anayefuata wa civil halafu anamalizia wa mechanical na seko inajirudia....
 
Hahahahaaa hii kali
 
hahahaaaaaaaa,unaweza jikuta unabanwa na haja kila baada ya dakika 20
 
Hiyo tisa... kumi tulipangwa darasa moja wanafunzi wa mwaka wa mwanza Civil... wa pili Electrical na wa tatu mechanical... yaani anaanza wa electrical anayefuata wa civil halafu anamalizia wa mechanical na seko inajirudia....

Afadhali hata hiyo, Ilishawahi kutokea anaanza wa FOE, anafuata wa BCOM halafu anamalizia FASS lakini hiyo haikuzuia watu kusaidiana, badala ya kusaidiana kulia kwenda kushoto watu wakawa wanasaidiana mbele kwenda nyuma au nyuma kwenda mbele au diagonally.
 
Long tym...mambo ya mtihani. Watu wanatengeneza spider web... ila mm nilikuwa nakaaga mbele kabisa karibu na meza ya msimamizi kwenye CA'S. Sitaki shida.
 
Hiyo tisa... kumi tulipangwa darasa moja wanafunzi wa mwaka wa mwanza Civil... wa pili Electrical na wa tatu mechanical... yaani anaanza wa electrical anayefuata wa civil halafu anamalizia wa mechanical na seko inajirudia....

Hahahahaahha kumbe nawe pia umesoma technical school? Hiyo mbaya sana kumbuka mtihani wa kidato cha nne wanaofuatia kwa namba nyuma yangu kama watatu wote tulikua tusoma telecommunication loh ilibidi upangaji wa namba siku hiyo ufeli loh ilikua balaa no chabo
 
Tena nimesoma technical haswaaa... Embu cheki.. Baada tu ya kumaliza primary school... Nikatia maguu IFUNDA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL... then... MBEYA TECHNICAL COLLEGE... nikamalizia FACULTY OF ENGINEERING pale UDSM... Na somo rahisi kwangu ukiangalia cheti changu cha form four ni hesabu na somo gumu kiswahili... Nakumbuka nilifanya mtihani wa kiswahili kwa ule wimbo wa mwanameka... we acha tu... D ilihusika tena ya kusevu penati
 
kimbembe ni ukute multipochoice halaf maswali yachanganywe kwa namna 6 tofauti..

swali la 1 kwaza kwako kwa jirani ni la 5..etc
 
itakuwa 1991 hiyo
 
Nyimbo zinasaidia sana mkuu sema uwe mwepesi wa kukumbuka hata mimi hiyo ilichangia kunipa B
 
ila nawahurumia hao walioketishwa juani... ukute jua linakuchoma na vitu havipandi... mateso juu ya mateso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…