4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,208
- 8,310
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naripoti toka Afrikana huku hakuna nishati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naripoti toka Afrikana huku hakuna nishati
sawa chawa wa TANESCOAcha uzushi. Umeme siyo kipimo cha utendaji. Nunua genereta au solar
Ni jina tu katika kabila langu sitaki kufahamu kilugha chenu Lina maana ganiAcha kulalamika Mwanaume tena Ndiga unajua Maana Ya Ndiga Wewe?
Ndiga mamboNi jina tu katika kabila langu sitaki kufahamu kilugha chenu Lima maana gani
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
kuna moja ilipunguza tatizo ila hii sasa limekuwa noma aseeeMkuu unahisi kwanini umeme unakatika katika hovyo au tuseme kuna mgao hasa kipindi hiki cha mwezi wa 10 kuja wa kumi na mbili?.
It's something with roots..Kutegemea maji tu kuzalisha..so hatuwezi kulaumu Serikali ya Samia isiyo hata na miaka miwili na tukaacha zilizopita..So point yako kuhusu Bashiru n.k haiapply hapa navyoona.
MAGU anachukiwa kwa makosa ya waliomtangulia , wakitengeneza kizaz cha kihuni chenye ndoto za shortcut , MAGU alitaka kurudisha mfumo sahihi ila kizaz kibov kikaanza muwekea upinzan na.ndio maana alifer baadhi ya idara ila kweny umeme alijitahidi ingawaje umeme wa mgao ulikuwepo ila haukuwa mkubwa kias hikiMAGU tuliingia Cha kike.
Huyu mama tumepigwa....,
Me siyo Mganda halafu jina halina maana yoyote hata kondoo angeitwa jiwe Leo hii tungemtambua kwa jina hilo.Ndiga ni kiganda maana yake ni Kondoo si shangai kuwa na akili za kikondoo kama Wewe ndio maana nakuupuza kondoo wewe
kipind cha JPM ilikuwa angalau kdg sio km hii ya SHSKwani miezi mingine umeme huwa unakuwa wa shida kama kipindi hiki?..au unataka kusema umesahau pia na mwaka jana..miezi kama hii kulikuwa na shida kubwa ya Maji na Umeme..So lawama tuzipeleke kwenye awamu zote zilizopita na hii kwa kushindwa kutupatia umeme wa uhakika.
NDIGA .......KONDOOMe siyo Mganda halafu jina halina maana yoyote hata kondoo angeitwa jiwe Leo hii tungemtambua kwa jina hilo.
Pole kwa kumiliki ubongo usiokuwa na akili wewe mkimbizi.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app