Wamekata tena umeme, hawa watu bwana!

Wamekata tena umeme, hawa watu bwana!

Habari inajieleza
Hata bila aibu haya majitu yamekata tena umeme na ukumbuke hayanaga aibu haya.
Yaani yanaamua tu kukata yalivo mabovu vichwani.
Acha uzushi. Umeme siyo kipimo cha utendaji. Nunua genereta au solar
 
Hii ya umeme kukata imekuwa sugu sasa.Bashiru akisema ukweli wanaanza kumshambulia.Bashiru wachane tena maana we we wanakusikia haraka tofauti na sisi wananchi tukisema huwa wanajifanya hawajasikia
Mkuu unahisi kwanini umeme unakatika katika hovyo au tuseme kuna mgao hasa kipindi hiki cha mwezi wa 10 kuja wa kumi na mbili?.

It's something with roots..Kutegemea maji tu kuzalisha..so hatuwezi kulaumu Serikali ya Samia isiyo hata na miaka miwili na tukaacha zilizopita..So point yako kuhusu Bashiru n.k haiapply hapa navyoona.
 
Usitufanye hatuishi tanzania mkuu. Kwamba unasema mwezi gani sijui vitu gani ukame ukakausha umeme huko
 
Back
Top Bottom