Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,313
- 46,825
Kwani miezi mingine umeme huwa unakuwa wa shida kama kipindi hiki?..au unataka kusema umesahau pia na mwaka jana..miezi kama hii kulikuwa na shida kubwa ya Maji na Umeme..So lawama tuzipeleke kwenye awamu zote zilizopita na hii kwa kushindwa kutupatia umeme wa uhakika.Usitufanye hatuishi tanzania mkuu. Kwamba unasema mwezi gani sijui vitu gani ukame ukakausha umeme huko