Wamekata tena umeme, hawa watu bwana!

Wamekata tena umeme, hawa watu bwana!

Habari inajieleza
Hata bila aibu haya majitu yamekata tena umeme na ukumbuke hayanaga aibu haya.
Yaani yanaamua tu kukata yalivo mabovu vichwani.
Hata wamekata mpka saa sita usiku. Hivi na laini zao huwa zinakatwa pia wanakoishi ama wao Ni special Sana na huku sie ndio tumewaajili na wanakula jasho letu. Mangula philipo
 
Habari inajieleza
Hata bila aibu haya majitu yamekata tena umeme na ukumbuke hayanaga aibu haya.
Yaani yanaamua tu kukata yalivo mabovu vichwani.
Mama anaupiga mwingi
Bashiru atuachie CCM yetu,
Umeme, maji, chakula viko vya kutosha tu,
Mfumuko wa bei uko negative,
 
USijali #MamaYupoKazini 😀 😀
FiJnldVWQAAARrX.jpeg
 
Habari inajieleza
Hata bila aibu haya majitu yamekata tena umeme na ukumbuke hayanaga aibu haya.
Yaani yanaamua tu kukata yalivo mabovu vichwani.
Amesema tatizo litaisha wakati wa kampeni 2025....
Sahau gesi ya mtwara na bwawa la magufuli...
 
Acha uzushi. Umeme siyo kipimo cha utendaji. Nunua genereta au solar
Acha upuuzi generator au sola ndiyo itakuwa kipimo cha utendaji wapi umeona analalamikia utendaji au ndo wanufaika wa kukatika kwa umeme.
 
Aliporudishwa tu yule muuza majenereta nikajua hatuna mtu pale lazima umeme yawe majanga.
Wadanganyika bado hatujapata watu sahihi wa kutuongoza bora tuombe wazungu warudi japo miaka kadhaa kututawala.
Madudu ni mengi kwa watawala wetu , japo wanasema mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake wao wamekata kamba zao wanakula hadi nyasi zinazotuzunguka.
 
Kuwakamua wanyonge tozo huku wao wakijipimia kwa urefu wa kamba na kulamba asali hakuwezi kuwaacha salama......
 
Dah! Naona na mimi leo nimepigwa na kitu kizito kichwani! Yaani kuanzia asubuhi hakuna biashara! Mbaya zaidi biadhara yenyewe kwa sehemu kubwa inautegemea huo umeme.

Imagine ni miaka zaidi ya 60 sasa tangu tupate uhuru! Lakini nishati ya umeme bado inatolewa kwa mgao! Hakika tutaufikia uchumi halisi wa kati tukiwa tumechoka sana.
 
Habari inajieleza

Hata bila aibu haya majitu yamekata tena umeme na ukumbuke hayanaga aibu haya.

Yaani yanaamua tu kukata yalivo mabovu vichwani.
Tulia wewe Fanya kazi umeme kwani unauweka Tumboni
 
Back
Top Bottom