Wamekata tamaa au wanahofu?

Wamekata tamaa au wanahofu?

Mengi nimejifunza hapa💥👊
Kesho beba bango lenye maandishi yafuatayo.

Hatuna Nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Tuilinde amani ni mtaji wetu,
Tuitunze,
Tusikilizane,
Tuheshimiane,
Tushikamane
 
Back
Top Bottom