Wameishi miaka saba bila kufunga ndoa na wanataka kuachana.

Manaswara mna taabu sana!What were they waiting for all those yers?Walikuwa wanazini tu miaka yote 7 na kutafuta mali?
Takbiriiiiii hivi kwa sheria za kiislamu hawa wanatakiwa wafanyiwe nini?
 
Niliwahi sikia watu wa Ustawi wakasema kuwa hata mgawanyo wa mali wanaangalia uthibitisho wa mchango wako... sio kuwa ulikuwa wapika ndo upewe mgao
wako wanaume pia wasio na mchango wowote hawaleti cha kupika dawa yao hii hapa kutoka kenya kukata nani hii yao

hapa sasa kuna point
 
Ww changia tu haina haja kujua kama ni yeye au mwingine
 
Nimependa hapo kwenye range
 
Ndio pasipo shaka yeyote,Sababu huyo mama na huyo mwanamume ni mtu na mzazi mwenzi sio mtu na mumewe.Kwa hiyo mali zilizo kwa jina lake ni zake yeye kama yeye
Nahis kuna mchepuko uko unamdanganya,unamtia tamaa ya mali kwamba mkiachana mtagawana nusu kwa nusu m akili za wanawake nazijua tu sis kwa taarifa yake hapo hapat kitu mwambie kaka yako awe makin na document
 
pumbavu liongo likubwa sheria gan ya ndoa 1972 mwaka ?Mijitu ya lumumba uongo ni tabia,We Libashite
 
Nahis kuna mchepuko uko unamdanganya,unamtia tamaa ya mali kwamba mkiachana mtagawana nusu kwa nusu m akili za wanawake nazijua tu sis kwa taarifa yake hapo hapat kitu mwambie kaka yako awe makin na document
Mijitu ya lumumba uongo ni tabia
 
Ndio pasipo shaka yeyote,Sababu huyo mama na huyo mwanamume ni mtu na mzazi mwenzi sio mtu na mumewe.Kwa hiyo mali zilizo kwa jina lake ni zake yeye kama yeye
Ondoa ujïnga kudandia vit usivvyovijua.You are neither woman nor Man.Just get lost
 
Duuh mkuu angalia boda wasikwangue hiyo range 😀 😀 😀
 
Ndio pasipo shaka yeyote,Sababu huyo mama na huyo mwanamume ni mtu na mzazi mwenzi sio mtu na mumewe.Kwa hiyo mali zilizo kwa jina lake ni zake yeye kama yeye
Mkuu umesoma sheria chuo gani?
Unawaaibisha wanasheria na waliozitunga
 
Naomba lift mkuu maana sijawai panda range mie
 
kama title zinasomeka majina yao wote wawili watagawana kama kila mali ina jina binafsi hakuna kugawana kila mtu anasepa kivyake na chake kama wana watoto mgawo utahusu watoto zaidi ambapo mali za kila mzazi zitatakiwa kumegwa kwa ajii ya watoto

Sheria inataja mali zilizochumwa wakati wa ndoa, haijalishi ina majina ya wawili au mmoja.

Soma kifungu cha 114 cha Sheria ya Ndoa, 1971.

Properties acquired jointly during the subsistence of marriage.

Hata kama mmoja wa wana ndoa kazi yake ilikuwa kitandani tu, naye anapata mgao maana ni kwa kazi hiyo ya tendon la ndoa mwenzake akapata nguvu kutafuta hizo mali.

Soma kesi ya Bihawa Mohamedi
 
Bashite huyo mķuu
 
kama title zinasomeka majina yao wote wawili watagawana kama kila mali ina jina binafsi hakuna kugawana kila mtu anasepa kivyake na chake kama wana watoto mgawo utahusu watoto zaidi ambapo mali za kila mzazi zitatakiwa kumegwa kwa ajii ya watoto
huu ni msimamo wa kisheria au ni fikra zako mkuu??
 
mkuu acha bangi
 
well Kama walivyotangulia wasomi hapo juu watu hao wanatambulika Kama wanandoa, sasa basi chakufanya ni huyo mwanamke kwenda kuomba mgawanyo wa Mali na matunzo kwa watoto. kutokana na uzoefu wangu mwanaume ataficha Mali au kudai alizipata kwa juhudi binafsi,
mama atafute wakili mzuri wakumsimamia (sio bush lawyer)
NB: mama anahaki na zote walizochuma pamoja kwa kipindi chote walichokaa na huyo mwanaume ikiwepo kukaa na watoto na kutunzwa kwa watoto
 
UMEPAKI "RANGE" dah maisha haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…