Wameishi miaka saba bila kufunga ndoa na wanataka kuachana.

mkuu just hate me if its what make you happy,

Nikitofautiana na mtu kimtazamo nampenda sbb ananipa changamoto ya kuwaza upande wa pili.
 
Wewe ni mhaya bilashaka
 
Given the fact that today a number of people are cohabiting without ceremony, the Act ought to provide for registration of such unions after the requirements of section 160 have been satisfied.
Hiki ndicho kinatakiwa,Hizo unions ziwe registered kisheria badala ya porojo tu za ohh majirani walikuwa wakituona hadi tunapovua nguo kulalana
 
Hoja fikirishi sana ikiwa watakuwa wana nyumba ya geti kali ni vigumu sana kupatikana ushahidi sahihi
Jirani anapogeuka msajili wa ndoa mfungisha ndoa watu.Kazi mojawapo ya jirani ni kufungisha ndoa watu aisee.Masaki watu wanaishi maisha self contained.Huyo jirani wa kutokea kusema hawa ni mume na mke najaribu kuwaza
 
Asante wakili Rweyemamu kwa uwakilishi bora wa mkoa wa Kagera
 
Ukisha ishi na mwanamke/mwanaume kinyumba zaidi ya miaka 2 hiyo ni ndoa tayari Presumption of marriage....161 of LMA...kama sikosei

Section 160 of Law of Marriage Act.

Lazima wathibishe kwanza kama kuna ndoa.

Then, hiyo ndoa ivunjwe.

Halafu mali zilizochumwa wakati wa ndoa (miaka miwili baada ya kupata hadhi ya ndoa).

Mali zilizochumwa kabla ya ndoa hazitahusika kwenye mgawanyo.

Kwa hiyo, huyo mke aende mahakamani ili kupata anachokitaka.

Mahakama ya mwanzo
 
mm hata km tumefunga ndoa siwez andika kila kitu kwa majina ya familia, vingne napeleka kwa ndugu wa kuzaliwa, sio kwa nia ovu ila kwa tahadhari in case drama zikianza

How old are you again?

Mama wa watoto wako; ni nadra sana aje aache watoto wenu wateseke; lakini ndugu yako wa damu sio ajabu kuwasahau watoto wako. Hizo mali utakazozipeleka kwa ndugu zako; zitawafaidisha ndugu zako na watoto wao; sio watoto wako. Mwisho wa siku watoto wako wanaanza kuombaomba kisa baba yao alikuwa mbinafsi. ACHA UBINAFSI

Au naomba itokee huyo ndugu uliyempa mali zako afariki kabla yako; uone kama mali zitarudi kwako kirahisi.
 
Ndio maana ya presumption kaka ....sibishani na ww lkn ulitakiwa kuelewa hoja yangu mapema 'presumption' ukiweka hilo neno ni subject kuwa proved mahakamani infact hiyo presumption inaweza kupingwa Kwa ushahidi vile vile....rebbutted...ndio maana ya rebuttable presumption of marriage.....
 
Nakuunga mkono. Hawa ndo wale wanaoishi na wake zao as if ni maadui zao. Mungu atusaidie na hizi ndoa
 
taratibu dada mwishowe utanitemea mate,
ungetumia lugha ya busara na mimi ningeshawishika kusikiliza hoja yako
 
Bycle

QUOTE="syllae, post: 32073311, member: 292398"]
Umepaki nin pemben boss
[/QUOTE]
le
 
Wala usishawishike; endelea hivyo hivyo na msimamo wako

Nenda katafute familia za ndugu/rafiki zako ambao wameshafariki; afu angalia hao ndugu wa damu ni wangapi wana mchango kwenye maisha ya watoto wa marehemu. Jibu kaa nalo
taratibu dada mwishowe utanitemea mate,
ungetumia lugha ya busara na mimi ningeshawishika kusikiliza hoja yako
 
YEHODAYA unapotosha sana. Wewe baki na siasa za ki ccm, sheria huna unachojua. Yaani unaposema sheria ya ndoa ya 1971 haina kifungu cha presumption of marriage after two yrs hapo ndio umedanganya sana.

Kwa suala hili kuna presumption of marriage kabisa, na mgawo wa mali unagawika kwa wanandoa hao licha ya kwa si lazima iwe 50/50, bali itategemea na mchango wa kila mmoja katika upatikanaji wa hizo mali. Zaidi kwa kuzingatia maamuzi ya mahakama ya rufaa ktk kesi ya Bi.Hawa Mohamed ( ambayo imerejewa ktk kesi nyingi), ni kuwa hata mama wa nyumbani asiye ingiza kipato anastahili mgao wa mali pindi ndoa inapovunjika kwa kuzingatia shughuli zake nyumbani
 
Wala usishawishike; endelea hivyo hivyo na msimamo wako

Nenda katafute familia za ndugu/rafiki zako ambao wameshafariki; afu angalia hao ndugu wa damu ni wangapi wana mchango kwenye maisha ya watoto wa marehemu. Jibu kaa nalo
kumbe lengo ni attack sio kueleweshana, inaonesha unapenda ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…