Chilogole
JF-Expert Member
- Jun 18, 2019
- 291
- 273
JF Habarini za asubuhi!!!
Rafiki yangu ni mfanya kazi na mkewe ni mfanyakazi pia wameishi miaka saba pasipo kufunga ndoa ya aina yoyote na sasa wanamgogoro wanataka kuachana wananyumba,wanamagari,viwanja na vingine vingi.
Je? Sheria ikoje kama wakiachana kwa sababu mwanamke anasema atafuata sheria na yeye ndo anatoa msukumo wa kutaka kuondoka. Wanasheria mnasemaje kuhusu Mali walizochuma je watagawana au Vipi? Kwenu wataalam