Wamefanikiwa kwa mbinde!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Ilikuwa majira ya saa 5 usiku. Mi niko kwa miguu kando kando ya barabara ambayo ina kichaka upande wa kulia. Nikasikia purukushani ikitokea kichakana kwa muda mrefu,nikabana pembeni nishuhudie kitakacho tokea. Mara akaibuka bonge la baunsa huku nguo zake zikiwa zimeraruliwa ovyo! Nikamuuliza kulikoni? Akajibu,"sio hao washamba, tena mafala tu alafu wageni hapa mjini,si wamenikameruni lakini kwa mbinde"!
 
kwikwikwikwi japo kopy en paste nimecheka bila mbinde kwikwikwiiii
baunsa hoi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom