Wameanza tena!

Wameanza tena!

...............................Peter na mdogo wake John walikuwa wanalala kitanda kimoja cha spring na wazazi wao.wakati wa usiku wazazi wao walikuwa wanavizia peter na john wamelala na kuanza kufanya mapenzi.kutokana na kitanda kunesanesa wanapofanya mapenzi peter na john wakawa wanajikuta wanaanguka.peter na john baada ya kufanya uchunguzi wakagundua kuwa wanaanguka kutokana na kitanda kunesanesa wakati wazazi wao wanapofanya mapenzi.siku moja usiku peter alishtuka kutoka usingizini na kuwaona wazaz wao wakijiaandaa kufanya mapenzi.............. ndipo peter alipomwamsha john na kumwambia "jishikilie vizuri wameanza tena"


du hicho kitanda ya spring kilikuwa na ukubwa gani kulala watu wanne?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom