miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
Hahahahaha kweli we @by miss chagga.
Kama kuna bidada mmoja wamachame alimfumania jamaa yake akawafungia ndani akaenda kununua petrol akaja nayo akamuonyesha jamaa kwa dirishani akamwambia kwa usalama wenu ninataka 1m Jamaa mbona alitoa kadi hela zikachukuliwe.. ChagaZ ni shidaaa
Hapo raaha, umepata support, miss chagga. Umri sasa unakimbia na speed inapungua, inawezekana ni sababu pia.
hahaa..weka picha, otherwise wewe ni mchaga wa dar es salaam, nadhani unanipata.
Mh..Helaa? penalty ama rushwa, kweli wew DEMU WA KICHAGA JIONI UNAULIZAGA, UMEINGIZA SHILINGI NGAPI?
Hapo raaha, umepata support, miss chagga. Umri sasa unakimbia na speed inapungua, inawezekana ni sababu pia.
Hiyo Chalii umenikumbusha mbali sana miss chagga, utoto mpaka mwanzoni mwa ujana nlikuaga naishi huko afu ndio home pia. So ur my sister kiukanda.aisee chalii nipo chini ya kahawa hapa dar salaam nasikiaga tu kupo sijawahi fika aisee wewe
Inabidi nitafute mzee mwenzangu, lakini nawasiwasi isije kua ile tabia ya magolikipa hata wanawake wanayo, inabidi tupewe muongozo hapa. sababu magolikipa huwa wakizeeka na uwezo wa kudaka unaongezeka nam-refer Van der sir..Mkuu kama umri unakimbia oa mke wa ndoa anaweza akakuvulia hata kama speed inapungua .
Hiyo Chalii umenikumbusha mbali sana miss chagga, utoto mpaka mwanzoni mwa ujana nlikuaga naishi huko afu ndio home pia. So ur my sister kiukanda.
Wewe ume disqualify kuwa mke..kama ndio mimi napiga mechi ukinibamba nakuletea zawadi tu yanaisha. Raha sana
Hahaaa ulivyocharuka utadhani mtu kaingia na viatu wakati unapiga nyumba deki.
Pole! MWENYE KISU KIKALI NDO ANAKULA NYAMA SIKU ZOTE MKUU!
Inabidi nitafute mzee mwenzangu, lakini nawasiwasi isije kua ile tabia ya magolikipa hata wanawake wanayo, inabidi tupewe muongozo hapa. sababu magolikipa huwa wakizeeka na uwezo wa kudaka unaongezeka nam-refer Van der sir..
Toa hiyo kitu kichwani mkuu, hata kama mtu anacheat lakini heshima iwepo, awe anatimiza wajibu wake kama mume, sio kuishi kuhonga huku Miss Chagga na watoto wanapata kwashiakoraisee mimi uongo sipendi unajua ni bora mtu awe muwazi nataka kupiga nje nijue lakini unanidanganya am the only wakati kuna mia wanatumia hiyo kitu aisee ... ndo maana naogopa ndoa sana sijui nitaolewa nini loh
Lakini kisu hakihusiki hapa huyo jamaa hana adabu kabisa,heri umfadhili mbuzi.......
Sent from my iPhone using JamiiForums