Wameadhibiwa na dunia...

Nadhani Mungu kasikia kilio changu, jamaa kaniibia kabla hata wiki haijaisha napata replacement yake.
Ndiyo hvyo tena wala haujatumia nguvu nyingi kuipata hyo replacement...hapa unanikumbusha wimbo wa diamond wa mbagala....baadae akapata bonge la kimwana....
 
Ndiyo hvyo tena wala haujatumia nguvu nyingi kuipata hyo replacement...hapa unanikumbusha wimbo wa diamond wa mbagala....baadae akapata bonge la kimwana....
Ila ananitisha kwamba yeye ugly..mh, isije kua natupa almasi naokota chupa?
 
Pole,duniani rafiki wa kweli ni mama tu wengine mh tunajaribu tu,
Ogopa.......
 
Pole,duniani rafiki wa kweli ni mama tu wengine mh tunajaribu tu,
Ogopa.......
Inabidi sasa tusikaribishe marafiki majumbani mwetu mkuu..mh, maisha yanakwenda wapi?
 
Hapana mkuu usiogope....
\
Jamaa mmoja anasema kuwa na demu mkali(mrembo) ni risk, hivi ni kwanini huwa mkiwa warembo mna nyodo sana? hivi hamjui kwamba maisha ni zaidi ya urembo? kitu kidogo tu, ooh mi naona tuachane, tatizo ni nini?
 
Kizuri kinapendwa na wengi anajua wew upo lakini kuna wengine wamepanga foleni wanasubilia tu aseme ndiyo....kwahiyo mwisho wa siku hakithamini kilichopo mana anajua ana uwezo wa kukipata kingine....
 
Kizuri kinapendwa na wengi anajua wew upo lakini kuna wengine wamepanga foleni wanasubilia tu aseme ndiyo....kwahiyo mwisho wa siku hakithamini kilichopo mana anajua ana uwezo wa kukipata kingine....
Hapo ndipo ninapotofautiana na fikra za kina dada, mkuu..bora shilingi mia uliyonayo mkononi kuliko elfu kumi uliyoahidiwa. kwanini love isichukue maamuzi? kwanini pesa itutawale? hii kasumba sijui tumeiiga wapi, sababu enzi za wazaz wetu hakukua na hii hali. Sipendi mtu anithamini au kunipenda sababu ya nafasi yangu, kiuchumi..hv vitu vipo tu. Y money?
 
Rafiki yako mnafiki na mkeo nyoka tuu. Mkeo angekuheshimu asingemruhusu kugusa Mali yako!
Mwanamke angekataa huyo bwana angemlazimisha?
 
Maisha yamebadilika kuna sababu mbalimbali ambazo zimewafanya baadhi ya kina dada kuthamini uchumi wa mtu.....utakuta mwingine alishamvumili mpz wake katika hali ngumu ila baada ya kufanikiwa akapigwa chini akatafutwa wa hadhi nyingine....kwahyo mtu kama huyu ameshajeruhiwa unadhani keshi atakuwaje? Kwahyo sababu ziko nyingi ingawa wengine ni hulka yao tu
 
hapa ni jino kwa jino, unakumbuka ile uliyoweka hapa juzi kati "She is a nurse" cc miss chagga
 
Wakati mwingine tubadili mtazamo...mtu ana uwezo,akiamua kukaa hotelini,wewe inakuuma...achana na mambo yasio na tija kwako,songa mbele,fanya mambo yako!

ndugu, ukimaliza kusoma uzi, utafakari angalau kwa dakika tatu, sababu kubwa ya jamaa kufikia Hotelini ni kuwa na nafasi ya kujivinjari na G'friend wa rafiki yake. Mleta uzi halalamikii swala la kufikia Hotelini, analalamikia usaliti uliofanywa na marafiki zake dhidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…