Wakulonga
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 762
- 772
Moja kati ya vivutio vya watalii wanapokuja Tanzania ni wamasai. Sasa wamasai kadri siku zinavyosonga naona wanapoteza ile thamani halisi ya tamaduni zao na kuiga tamaduni zingine.
Leo unaweza mkuta mmasai ana T-shirt na jeans. Mara ana madini shingoni, mara ana smartphone. Sasa kweli watalii watavutiwa na utalii huu wa kuwaona wana madini shingoni.
Mmasai lake rungu na sime na shanga mwilini.