SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,359
Muhudumu wa Bar: Karibu
Masai: Asante
Muhudumu: Nikuhudumie nini.
Masai: Nataka bia ya baridi..
Muhudumu: Bia gani?
Masai: Ile yenye chui
Muhudumu: Hii hapa nifungue?
Masai: Fungua
Muhudumu: Haya nimefungua karibu.
Masai: Kwenye hii glass pima ya bia 200 na inayobaki uzia rafiki ingine..
Masai: Asante
Muhudumu: Nikuhudumie nini.
Masai: Nataka bia ya baridi..
Muhudumu: Bia gani?
Masai: Ile yenye chui
Muhudumu: Hii hapa nifungue?
Masai: Fungua
Muhudumu: Haya nimefungua karibu.
Masai: Kwenye hii glass pima ya bia 200 na inayobaki uzia rafiki ingine..