Wamasai tunadharaulika pasipo sababu

Wamasai tunadharaulika pasipo sababu

Tutawakomboa wamaasai wetu wote toka utumwani, kama tulivyo wakomboa wabantu na wazigua wa kule Somalia ambao ni vizazi vya watanganyika.
Bila kusahau wenzetu wa kanda ya ziwa!
Ipo siku
 
Pamoja na kuiingizia nchi matrilioni kupitia utalii. Lakini pindi tu mtu anajua wewe ni mmasai anaanza dharau za ghafla. Kama vile umejinyea. Shida ni nini wandugu? Au kwa sababu tunavaa lubega? Sisi wote ni watanzania.
Mi nadhani munajishuku tu, wamakonde, wazaramo na etc?? Kila kabila lina Lake ktk jamii. Personally nathink very highly of you guys n proud too. Hao wanaoonyesha Dharau nadhani ni tabia zao kudharau wengine
 
sio wote aiseee....mimi nawakubali sana wamasai kwani uaminifu ni ngao yenu...japo kuna baadhi ya makabila ampatani nayo...napenda sana kujifunza mengi kwenu hasa dawa za asili.
 
Tutawakomboa wamaasai wetu wote toka utumwani, kama tulivyo wakomboa wabantu na wazigua wa kule Somalia ambao ni vizazi vya watanganyika.
Bila kusahau wenzetu wa kanda ya ziwa!
Ipo siku
Nani anatumikishwa wewe nguchiro this is a free state kila mtu anao uhuru wa kuishi atakavyo according to the constitution walikuja kukuomba ukombozi?

Kwa comments zako wewe inaonyesha una IQ ndogo na utakuwa umetoka kikabila cha hovyo mno
Mkuu
na wewe acha hizo dharau, una maanisha kua kuna kabila za hovyo na zisizo za hovyo?! Watanzania ni wamoja acha kuweka standard au class kwenye tribalism haipendezi.
 
Mkuu
na wewe acha hizo dharau, una maanisha kua kuna kabila za hovyo na zisizo za hovyo?! Watanzania ni wamoja acha kuweka standard au class kwenye tribalism haipendezi.
Kuna vik..... Vya hovyo hata IQ zao pia
 
Kweli ila mnazidi punguzeni ushamba bhana jamaa zako nilipanda nao daladala natoka msamvu kwnda mji et kituo hawakijui baada ya kuuliza wapo kimya wakapitilizwa kituo alf wakaanza lazmisha et daladala igeuze iwarudishe nyuma!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom