Wamasai tunadharaulika pasipo sababu

Wamasai tunadharaulika pasipo sababu

Mbona wamasai watu poa sana. Na wanaheshimika sana wewe muongo
 
Jiungeni na Kenya!..sehemu zote za nyanda za juu ya nchi hiyo ambayo ni ardhi ya wamaasai,zilipaswa kua Kenya.huku tunawaheshimu wamaasai sana!....mji wetu mkuu ni makazi ya wamaasai!......Kenya yawapenda wamasai wote duniani!

😀.........KENYA HAKUNA MATATA!
Ushaanza shobo
 
Heshima kitu muhimu na sioni kuna haja gani ya kasema kabila la mtu hii ni Tanzania kama unajisikia kusema jiseme mwenyewe au useme kabila lako au ndo wale wasiokuwa na makabila?????
 
Tatizo lako ulimwambia nesi kuliko kukutoboa tako bora akuchome kwenye tundu kubwa,
 
Mbona mi huwa nina mtizamo tofauti sana nikikutana na wamasai, huwa nawaona ni watu wenye misimamo na wepesi kuelewa jambo, pia siyo waongeaji kabisa, mi design huwa nawachukulia siyo watu wa mchezo mchezo, nafikiri ni vile nimeishi nao sana.
Mmasai ni mtu asiyependa ujinga ujinga wa kiswahili hata siku moja,
 
americanexpress2.jpg
 
Pamoja na kuiingizia nchi matrilioni kupitia utalii. Lakini pindi tu mtu anajua wewe ni mmasai anaanza dharau za ghafla. Kama vile umejinyea. Shida ni nini wandugu? Au kwa sababu tunavaa lubega? Sisi wote ni watanzania.
Nawakubali sana Ila ni watani zangu
 
Wamasai wanataniwa sana na Wachagga pamoja na Wameru. Hata wao hutania sana wenzao. Ukifanya kitu cha kijinga,mchagga atakuambia "acha ujinga wako,mbona unakua ka Mmasai?". Vivyo hivyo ukifanya kitu cha kijinga Mmasai atakuambia "shee,mbona unaleta mambo ya ajabu kama mushagga ile ormeeki?"

Hii kitu ipo hata huko kanda ya ziwa. Wasukuma wanataniwa sana lakini wao huchukulia kama wanadharaulika na majirani zao Wahaya.
 
sio kweli wala hamdharauliki! mbona EDO watu wanamsujudia
 
wewe sio mmasai unaweza tumia hdi internet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom