Wamasai tunadharaulika pasipo sababu

Wamasai tunadharaulika pasipo sababu

Kuna tofauti ndogo sana kati ya Mmasai na Ng'ombe.
 
Pamoja na kuiingizia nchi matrilioni kupitia utalii. Lakini pindi tu mtu anajua wewe ni mmasai anaanza dharau za ghafla. Kama vile umejinyea. Shida ni nini wandugu? Au kwa sababu tunavaa lubega? Sisi wote ni watanzania.

UPDATE 30.01.2019
Wamasai wengi ni watu wenye uelewa mkubwa kushinda makabila mengi hapa nchini, hususani wavaa KOBAZI na washindia ubwabwa, kutwa kuongeza wake huku nguvu zenyewe hamna. ACHENI DHEREU.
Pole sana kwa utakayo Kutana nayo umu ndani
 
Tutawakomboa wamaasai wetu wote toka utumwani, kama tulivyo wakomboa wabantu na wazigua wa kule Somalia ambao ni vizazi vya watanganyika.
Bila kusahau wenzetu wa kanda ya ziwa!
Ipo siku
Na sisi wa kanda ya ziwa utukomboeje
 
Sababu i(zi)po sema tu hamzijui labda!

Kwa hiyo kabla ya kusema bila sababu mngetafuta kujua kwanza kwanini imekuwa hivyo?! Na siyo kukimbilia kusema bila sababu
 
Mkiacha kazi za magetini na kusuka kina dada, kutengeneza shanga mfanye kazi za kiume kama kujenga kubeba zege hiv tutawaheshimu...
Wa Masai awajazoe kufanya kaz ngum wenyewe wamezoea kaz nyepesi kutembeza dawa kulinda, ndiyo mahana miili yao aipo strong
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom