FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Ili kuokoa bando lako nenda staight kwenye dakika ya 12 na sekunde 46 (12:46). Wazungu wanahaha na dropping fertility rates ambapo idadi ya watoto wakizungu wanaozaliwa haitoshi ku-replace wale wanaokufa.