Kweli kabisa.Bro hawa jamaa kama huyu ndiyo wale tuliokuwa tunawazungumzia wanafiki sana watumwa wa kiakili.
Hataki watu wajadili hili lakini mauaji ya Congo, Rwanda, Libya, Siyria, Palestina, yakijadiliwa kwake hamna tatizo lakini Marekani povu linamtoka ovyo.
Punguani sana hawa jamaa.
Kwani we huwajui ndugu zetu hawa? Wanapenda tu kuzusha mambo yaonekane makubwa zaidi,sasa wanaanza kuingiza mambo ya dini sasa. Ukishaona Uzi yupo Faiza,Ritz achana nao wala usiwasikilize!This is grossly overstated!
Hali siyo mwanaanz mbaya kama mnavyodhani.
Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
Wakiuwana si ndiyo furaha yako au wewe unatakaje?Hizo rifles wanazobeba wakishalewa wataanza kuuwana wao kwa wao tusubiri tu.
Kama uliangalia juzi ijumaa baada ya taarifa ya habari ya mbili, Star tv huwa kuna matangazo ya BBC, walimuhoji mtanzania mmoja alioko Marekani hususani eneo lilikotokea mauji hayo. Alisema hali ni mbaya kuliko inavyo ripotiwa aliongeza kuwa, huko marekani mengi sana yamekuwa yakitokea juu ya watu weusi na haya ripotiwi, mtu mweusi akitembea anaweza simamisha na askari hata mara tatu, ila mtu mweupe anapita tu au akasimamishwa mara moja tu au asisimamishwe kabisa. Tabia hii imewachosha wamarekani weusi kupelekea kuwapuuza polisi na ndipo mtiti unapoanzia hapo, akaulizwa kuhusu yeye, akasema kwa yeye na watanzania wenzake hamna tatizo kwa sababu Watanzania Wamezoe kuwaheshimu polisi, kwa wao wakisimamishwa huwa wanatii. Kwa maelezo haya utapata picha ikoje ndani ya marekani kuna ubaguzi sana, na sijui kama uliisikia kauli ya rais wa Marekani aliyoitoa baada ya kutokea mauaji haya, inatosha kuelewa mateso wanayoyapata wamarekani weusi ndani ya nchi yao.This is grossly overstated!
Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.
Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
Kwani we huwajui ndugu zetu hawa? Wanapenda tu kuzusha mambo yaonekane makubwa zaidi,sasa wanaanza kuingiza mambo ya dini sasa. Ukishaona Uzi yupo Faiza,Ritz achana nao wala usiwasikilize!
Kama uliangalia juzi ijumaa baada ya taarifa ya habari ya mbili, Star tv huwa kuna matangazo ya BBC, walimuhoji mtanzania mmoja alioko Marekani hususani eneo lilikotokea mauji hayo. Alisema hali ni mbaya kuliko inavyo ripotiwa aliongeza kuwa, huko marekani mengi sana yamekuwa yakitokea juu ya watu weusi na haya ripotiwi, mtu mweusi akitembea anaweza simamisha na askari hata mara tatu, ila mtu mweupe anapita tu au akasimamishwa mara moja tu au asisimamishwe kabisa. Tabia hii imewachosha wamarekani weusi kupelekea kuwapuuza polisi na ndipo mtiti unapoanzia hapo, akaulizwa kuhusu yeye, akasema kwa yeye na watanzania wenzake hamna tatizo kwa sababu Watanzania Wamezoe kuwaheshimu polisi, kwa wao wakisimamishwa huwa wanatii.
Kwa sababu mimi sipo marekani, siwezi pinga kauli yako, nikubariane na wewe vyombo vya habari vinatudanganya.Uongo mtupu!
Hali wala siyo mbaya kama mnavyodanganywa.
Msitake kufanya vifo vya watu wawili na polisi watano kuwa ndo gharika kwenye nchi yenye majimbo 50 na idadi ya watu zaidi ya milioni 300.
Acheni masikhara na acheni kudanganyika kama majuhha msio na ubongo!
Kwa sababu mimi sipo marekani, siwezi pinga kauli yako, nikubariane na wewe vyombo vya habari vinatudanganya.
This is grossly overstated!
Hali siyo mbaya kabisa na siyo mbaya kama mnavyodhani.
Kwanza sidhani kama wengi wenu mpo Marekani achilia mbali kufika.
Hata hii video watapinga watasema tumetengeneza sisi.Mtapinga ukweli mpaka mfe.
Acha kutia chumvi wewe.
Nadhani haujui the civil war history of USA (civil war ni rahisi sana kutokea in usa, na imesha tukea mara nyingi sana in the past).Uongo mtupu!
Hali wala siyo mbaya kama mnavyodanganywa.
Msitake kufanya vifo vya watu wawili na polisi watano kuwa ndo gharika kwenye nchi yenye majimbo 50 na idadi ya watu zaidi ya milioni 300.
Acheni masikhara na acheni kudanganyika kama majuhha msio na ubongo!
Mkuu matamshi kama haya yatachochea ubaguzi zaidi Marekani ni Taifa la mkusanyiko wa watu wa rangi na asili tafauti.Muda muafaka kwa viongozi wa Africa kuwatangazia Raia wake kuwa Marekani sio sehemu salama kwa wanaotaka kwenda Na walioko huko warudi haraka .
Kama vipi wafunge hata balozi zao kwa muda.hadi hali atakapotengamaa.!
Nadhani haujui the civil war history of us (civil war ni rahisi sana kutokea in us, na imesha tukea mara nyingi sana in the past).
Nenda ka Google "the history of civil war in us"
Utajionea mambo.