Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Wenzao hawaipendi bible kisa ni waislamu sehemu nyingine hawaruhusiwi hata kuwa nayo.
Hao wanajitambua,ukisoma Quran kuna tofauti ndogo sana na yaliyomo katika agano la kale katika Bible.
Naamini Mungu ni mmoja dini ni mfumo wa maisha
hii dunia imeubwa na miungu wangapi mpaka kutimia!!!Mungu ni mmoja dini ni mfumo wa maishaMungu wa Bible na mungu wa quran ni tofauti.
Hawa wanaamini katika mungu wa utatu mtakatifu(trinity) hawa wanaamini katika mungu mmoja.
Quran, 5:73 ?They do blaspheme who say: Allah is one of three in a Trinity: for there is no god except One Allah. If they desist not from their word (of blasphemy), verily a grievous penalty will befall the blasphemers among them.?
Labda kwa biblia iliyochakachuliwa, lakini katika uislam nguzo mojawapo ya imani ni kuamini vitabu vyote vya mwenyezi mungu yaani torati, zaburi, injili na qur'an
Laa Ilaha Illa Llah! Muhammadir~rasullulah
Biblia ipi iliyochakachuliwa na tunarejea ipi kuijua iliyochakachuliwa??? (reference)
Hakuna apasae kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu na Mtume Muhammad ni Mjumbe wake (Mjumbe wa Mwenyezi Mungu)Muwe mnaandika na tafasiri