masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,906
- 13,211
Plan your life, bimbo, plan."ukitaka kujua ubaya wa kifo nenda hospitali" by Dr. Remmy
Iko siku utajua kwa dhati kabisa kuwa hili ni miongoni mwa maswali ya hovyo kabisa umepata kuuliza mbele ya kadamnasi.
Hongera kwa kujaaliwa ukwasi.
Thats the problem.
Mtu anazaa without any resrvations, halafu anategemea FREE welfare service huku akifikiri simebody some where atalipa kodi ili apate free service.
China walipopiga marufuku kuwa unaruhusiwa mtoto mmoja tu, walijuwa wanafanya nini.
Tumeruhusiwa tufyatue serikali ipoMkuu kama hela ya tu ya kujifungua mtu hajajitayarisha hata baada ya miezi 9, huyo mtoto atamtunzaje?
Au kaizalia serikali?
Sawa kabisa mkuu, inaitwa KFW,mama ukiwa mjamzito unapewa no maalum na unahudumiwa kama mtu wa NHIF na mojawapo wa wafaidika ilikua mkoa wa Tanga nami pia ni mmojawapo, japokua nina NHIF lakini niliwekwa kwenye mradi huo, Sasa kama umetolewa itakua shughuli pevu mana ilikua msaada mkubwa kwa wamama wasiojiweza kulipia matibabu, hiyo huduma bure kwa serikali ni uongo maana unaambiwa matibabu bure lakini unajinunulia kila kitu kuanzia dawa za kuongeza damu, mpaka mipira ya kuvaa mikononi yaani gloves na vingine vingi, nakataa hakuna matibabu bure si kwa watoto wala wajawazito, na gharama za huduma unalipia hasa hospitali za mikoaNinavyofahamu kuna mikoa ambayo ilikuwa inatoa bima za bure kwa wajawazito ambazo zilikuwa zinafadhiliwa lakini mradi umefika mwisho hivyo kwa sasa suala la kulipia lipo japo sina uhakika ni shingapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Its allready planned, bimbo.Plan mazishi yako
Kama nakumbuka sawa Kujifungua Wamama Waja Wazito ilikuwa bure kabisa, lakini mambo yamebadilika Wandugu sasa hivi kwa Kujifungua kwa Njia ya Kawaida ni TZS.150,000/- na Kwa njia ya Upasuaji ni TZS.300,000/-. Naiona kasi kubwa ya kurudi kujifungulia akina mama kwa Wakunga ama Majumbani.
Na haswa ndiyo target yao! Kikubwa Serikali iache unafiki na Kuwadanganya wasioelewa!Kumbuka azimio la Meatu "zaeni watoto wengi"
Maana yake mapato yataongezeka
Lakini pia wanawake wengi wataelekezwa kwenye uzazi wa kupasuliwa ili kuinua mapato
Familia masikini zitajichuja na hatimaye kufutika kabisa kwenye ramani ya nchi
Yes! planned by third-party, it has to be planned exclusively and solely by you.Its allready planned, bimbo.
Unaogopa kufa?
As sure as the daily sunrise its on your way!
Bla shaka una upungufu mkubwa wa akili ...Muwage na aibu kudai vitu vya bure kila mara.
Jiulize wewe mwenyewe unatoa kodi kiasi gani ku subsidize huduma hiyo?
Nenda hospital ya wazazi meta jijini mbeya utaona tangazoMkuu taja jina la hospitali na mkoa na lini. Je wanatoa risiti?
Niko mbali sana na jiji la Mbeya, piga picha bango tuwekee tulio mbali.