Wamama wajawazito kujifungua kwa gharama ya TZS.150,000/ Hospitali za Serikali. Je, Serikali hii inatupeleka Wapi?

Hi
Ushasema alikuwa na bima..watu wote Tanzania wanahizo bima
Hiyo bima anapewa automaticaly anapokwenda kliniki siku ya kwanza na namba yake ya bima inaandikwa kwenye kadi hivyo atapata hufuma za afya bure mpaka mwaka mmoja utakapoisha
 
Hapana sikuuliza mkuu, ila kwa wazo la haraka ni kwamba amejifungua mtoto na amezuiliwa kuondoka hadi alipe deni maana yake ni kwamba huduma hiyo haitolewi bure.
Hospital kuna huduma za bule na huduma za kulipia,hivyo next time unaweza kuuliza ukapewa ufafanuzi. Nimewahi kufanya kazi hospital hivyo naelewa mambo kadhaa mkuu. Tunakushukuru kwa Moyo wa kizalendo wa kujitolea mkuu.

Bomba Mvua
 
Mkuu siku nyingine usiwe mtu wa kucoment pumbaaa...ilivyokuwa bure alikuwa anatoa kodi kiasi gani ku subsidize hiyo huduma???
Endelea kuzaa bure na utegemee serikali ikuzalishe bure na kukusomeshea bure kajeshi kako ka mgambo.
 
Back
Top Bottom