soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,329
Mkuu kama hela ya tu ya kujifungua mtu hajajitayarisha hata baada ya miezi 9, huyo mtoto atamtunzaje?
Au kaizalia serikali?
Fyatueni tu kama vile hamna akili nzuri.
Kuogopa kuzaa ni uvivu na umaskini.
Rudisheni tu na michango kwenye elimu maana elimu yetu inakwenda ndivyo sivyo.
Hakuna bure kwa dunia ya leo wandugu...tuisaidie serikali kutekeleza majukumu yake