Wamama itikieni mnapoamkiwa

Wamama itikieni mnapoamkiwa

TUTUO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
3,251
Reaction score
2,035
Jamani nyie wamama itikieni salamu inavyostahili. Ni hivi hapa ofisini kuna staff wamama baadhi sio wote ukiwasalimia shikamoo badala ya kuitikia marahaba unakuta anaitika nzuri /salama as if umemwambia habari yako. Kuna yeyote anakutana na hali hii na unadhani ni kwanini?
 
Nilikuwa nami nina tabia ya kusalimia Shikamoo hawa wamama rika za mama zetu kuna siku nikamsalimia mama mmoja, nilichojibiwa ni kuwa "Kwani mimi mama yako"?

Tangu hapo huwa sisalimii Kwa "shikamoo" hovyo hovyo labda niwe nakufahamu lakini sikufahamu salamu yangu ni "jamani kwema"?, imetosha ukiitikia usipoitikia ni juu yako.
 
Jamani nyie wamama itikieni salamu inavyostahili. Ni hv hapa ofisini kuna staff wamama baadhi sio wote ukiwasalimia shikamoo badala ya kuitikia marahaba unakuta anaitika nzuri /salama as if umemwambia habari yako aise kuna yeyote anakutana na hali hii na unadhani ni kwanini
Sio wamama tu, hadi wababa na wakaka fulani.
 
na nyie wababa muache kutuambia mambo? unaambiwa shikamoo mzee unajifanya huelewi wala huskii upo busy mambo vipi? mabo gani hayo unaulizia mzee mzima?


Ha ha a et mambo gani wanayoulizia
 
Na kweli aisehhh hapa mtaani yupo mmama ana watoto wawili nikimpa salamu anaangalia pembeni. mimi nataka nitongoze kabisa shenzi type
 
na nyie wababa muache kutuambia mambo? unaambiwa shikamoo mzee unajifanya huelewi wala huskii upo busy mambo vipi? mabo gani hayo unaulizia mzee mzima?
Kwa taarifa tuu ni kwamba mwanaume atabaki kuwa mwanaume mpaka siku anaingia kabirini,mwanamke dhaman yake ushuka akifikia umri flani tofaut na mwanaume.bila shaka umenielewa bibie
 
Back
Top Bottom