Wamama itikieni mnapoamkiwa

Wamama itikieni mnapoamkiwa

Mama mmoja nlimwambia shkamoo mama akanijibu,"kua na we upate yako!"
 
Mm kuna dogo ananiamkia af rafiki yangu anamwambia mambo..Iseee nataman nimuwashe akili imkae sawa..Sijui ananinyima nn kwa kuniamkia..
 
Kuwa positive tu, kama umegundua hapendi salaam hiyo, waweza msalimia "habari ya asubuhi/mchana/jioni" au "vipi hali yako"
Haupotezi chochote kwa kubadili salaam tu
 
Jamani nyie wamama itikieni salamu inavyostahili. Ni hivi hapa ofisini kuna staff wamama baadhi sio wote ukiwasalimia shikamoo badala ya kuitikia marahaba unakuta anaitika nzuri /salama as if umemwambia habari yako. Kuna yeyote anakutana na hali hii na unadhani ni kwanini?
Nhahahahaa umenikumbusha mmama wa ofisini hataki shikamoo ukimchapa shkamoo anapotezea alafu ananzisha story zengine
 
Jitazame na wewe. Unàkuta umejiachia na mibia na nyama choma, mazoezi hufanyi umekuwa kama una miaka 50 halafu unaamkia "wazee wenzako" wanaona aibu kuitikia kumbe mtoto wa juzi tu. Mpunguze mavitambi jamani. Ila mimi huwa naamkia kina babu na bibi tu kupunguza usumbufu wanaitikia kwa dhati hadi unasikia raha.
 
Sioni uhusiano wa maamkizi hayo ya heshima na mambo mengine mimi kuna ma bimkubwa kibao tu huwa nawasalimia khabari za saa hizi hii inatokana na wenyewe kujishushia heshma yao so naona kama naitupa hiyo salamu yangu.Yaani wengine maneno yao na jinsi wanavyokukodolea jicho ni kama anakwambia "wewe tu na roho yako na kuna wengine anaitikia shikamoo yako na bado mnaweza kuanzia hapo pana mmoja aliwahi kunambia mbele za watu sawa niamkie ila. ..
 
Shikamoo nadhani sio salamu ni kama kibwagizo flani kisicho na tija yoyote maana anayeumwa na aliye mzima wote ukiwapa shikamoo you expect the same damn answer(marahaba)
Sasa si bora tutumie punani compliment (Hi Yo!)
 
.....Shikamoo maana yake niko chini ya miguu yako...huko chini ya miguu ya huyo mama watafuta nini dogo?
 
*Habari..
*Za saa hizi....
Wanawake wanakuwa haraka na maumbo makubwa, pia katika kuzaa wanawahi hivyo maumbo yao yasikutishe kutoa shkamoo kizembe zembe. Wengine wadogo zako
Wengine makunyanzi had miguuni halafu useme ni umbo tu!
 
Jamani nyie wamama itikieni salamu inavyostahili. Ni hivi hapa ofisini kuna staff wamama baadhi sio wote ukiwasalimia shikamoo badala ya kuitikia marahaba unakuta anaitika nzuri /salama as if umemwambia habari yako. Kuna yeyote anakutana na hali hii na unadhani ni kwanini?
We unawaza nin?kama sio ngono nfate nkupe helaa
 
Back
Top Bottom