Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
hii kali ya wamakua wa kule mtwara...
bi harusi aliyeolewa na mmakua hivi karibuni akipita juu ya wakwe zake kama kapeti kwa mujibu wa mila na desturi za kabila hilo...
Jamani acheni uzungu hizi ndio mila tena nasikia wabiharusi huwa wanakanyanga kwenye vijungu vya mama wakweif theres'no harm,i dont see a problem..
very nice,waache wafanye...
...Hakuna ubaya wowote afterall ni kitu walichoamua kufanya kwa hiari yao so let them do it!! nadhani ni ishara ya kuonyesha wakwe wanamkubali binti otherwise ingekuwa tofauti kama binti asingekubalika ukweni.Hii mila haina maana yoyote kabisa. inastahili kuachwa na wabaki na zile nzuri. Huu kama si udhalilishaji ni nini??
Huyo mama mkwe ningekuwa mimi, ningekandamiza kisigino kwa nguvu zote, sijui kwenye ziwa au tumboni!
teh teh uadui wa mama mkwe na binti unaanziaga ukishakuwa ndani,sio kabla bwana...
Hii mila haina maana yoyote kabisa. inastahili kuachwa na wabaki na zile nzuri. Huu kama si udhalilishaji ni nini??
if theres'no harm,i dont see a problem..
very nice,waache wafanye...