Wamakua na mila za bibi haruri kupita juu ya wakwe

ghumpi

Senior Member
Joined
Nov 10, 2009
Messages
187
Likes
2
Points
33

ghumpi

Senior Member
Joined Nov 10, 2009
187 2 33
Hii mila haina maana yoyote kabisa. inastahili kuachwa na wabaki na zile nzuri. Huu kama si udhalilishaji ni nini??
 

Kilbark

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2008
Messages
561
Likes
23
Points
35

Kilbark

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2008
561 23 35
Mila ni mila tu. Inakutambulisha wewe ni nani na asili yako. Nadhani hata wale Waafrika Wamarekani mngewauliza nao kwanini wanaruka mfagio wakati wa harusi zao.
 

Fab

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2010
Messages
763
Likes
0
Points
0

Fab

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2010
763 0 0
if theres'no harm,i dont see a problem..
very nice,waache wafanye...
 

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
3,673
Likes
30
Points
0

Sajenti

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
3,673 30 0
Hii mila haina maana yoyote kabisa. inastahili kuachwa na wabaki na zile nzuri. Huu kama si udhalilishaji ni nini??
...Hakuna ubaya wowote afterall ni kitu walichoamua kufanya kwa hiari yao so let them do it!! nadhani ni ishara ya kuonyesha wakwe wanamkubali binti otherwise ingekuwa tofauti kama binti asingekubalika ukweni.
 

MadameX

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2009
Messages
7,843
Likes
71
Points
145

MadameX

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2009
7,843 71 145
Huyo mama mkwe ningekuwa mimi, ningekandamiza kisigino kwa nguvu zote, sijui kwenye ziwa au tumboni!
 

Fernandes Rodri

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2009
Messages
436
Likes
54
Points
45

Fernandes Rodri

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2009
436 54 45
Inaonesha una roho mbaya kama ya nyoka, kwa nini umkanyage kwa sana? hilo ni jambo la kuonyesha upendo na kuongeza furaha katika siku ya harusi.QUOTE=MadameX;1342518]Huyo mama mkwe ningekuwa mimi, ningekandamiza kisigino kwa nguvu zote, sijui kwenye ziwa au tumboni![/QUOTE]
 

Forum statistics

Threads 1,203,558
Members 456,824
Posts 28,118,675