Wamakua na mila za bibi haruri kupita juu ya wakwe

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Hii kali ya wamakua wa kule Mtwara...

attachment.php


Bi harusi aliyeolewa na mmakua hivi karibuni akipita juu ya wakwe zake kama kapeti kwa mujibu wa mila na desturi za kabila hilo...
 

Attachments

  • IMG00070-20101205-1434.jpg
    IMG00070-20101205-1434.jpg
    57.7 KB · Views: 1,234
hii kali ya wamakua wa kule mtwara...

attachment.php


bi harusi aliyeolewa na mmakua hivi karibuni akipita juu ya wakwe zake kama kapeti kwa mujibu wa mila na desturi za kabila hilo...

kamkanyaga pabaya na skuna zake huyu mama mnene
 
Hii mila haina maana yoyote kabisa. inastahili kuachwa na wabaki na zile nzuri. Huu kama si udhalilishaji ni nini??
 
Mila ni mila tu. Inakutambulisha wewe ni nani na asili yako. Nadhani hata wale Waafrika Wamarekani mngewauliza nao kwanini wanaruka mfagio wakati wa harusi zao.
 
if theres'no harm,i dont see a problem..
very nice,waache wafanye...
 
Hii mila haina maana yoyote kabisa. inastahili kuachwa na wabaki na zile nzuri. Huu kama si udhalilishaji ni nini??
...Hakuna ubaya wowote afterall ni kitu walichoamua kufanya kwa hiari yao so let them do it!! nadhani ni ishara ya kuonyesha wakwe wanamkubali binti otherwise ingekuwa tofauti kama binti asingekubalika ukweni.
 
Huyo mama mkwe ningekuwa mimi, ningekandamiza kisigino kwa nguvu zote, sijui kwenye ziwa au tumboni!
 
Huyo mama mkwe ningekuwa mimi, ningekandamiza kisigino kwa nguvu zote, sijui kwenye ziwa au tumboni!

teh teh uadui wa mama mkwe na binti unaanziaga ukishakuwa ndani,sio kabla bwana...
 
teh teh uadui wa mama mkwe na binti unaanziaga ukishakuwa ndani,sio kabla bwana...

Hahaha, saa nyingine ndio wanakuwekea kauzibe ya kuingia ndani, yaani inakuwa shida tu!
 
Hii ni mila nzuri zenye mafundisho mazuri sana. Ni muhimu zikaelezwa vizuri kwa wengine na pia zikadumishwa kwa nguvu zote.
 
Inaonesha una roho mbaya kama ya nyoka, kwa nini umkanyage kwa sana? hilo ni jambo la kuonyesha upendo na kuongeza furaha katika siku ya harusi.QUOTE=MadameX;1342518]Huyo mama mkwe ningekuwa mimi, ningekandamiza kisigino kwa nguvu zote, sijui kwenye ziwa au tumboni![/QUOTE]
 
Back
Top Bottom