Wamakonde

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Makonde_woman-546x600%5B1%5D.jpg
 
Kwa mujibu wa habari za mapokeo, inasemekana kwamba Wamakonde walikuwa wanajichanja chale ili wafanyabiashara ya utumwa waliokuwa wanakamata watu Afrika mashariki ili kuwauza kama watumwa Uarabuni wasiwatake kama bidhaa katika biashara hiyo.Pole pole chale hizi zikawa utamaduni.
 
<MAP name=Map><AREA href="frameset.htm" shape=rect coords=95,1,129,44></MAP>

Na hizo ndonya expalanation yake ni ipi?
 
sasa hawa ni watu wa mkowa Gani hasa?wamependeza kama wanavyopendeza Wamasai na makorokoro yao ya shingoni pamoja na zile nguo zao.
 
Mtwara na Lindi,

Hwa jamaa kuwa hawana herufi ya M, wao ni N, mfano, mwanamke watasema mwananke, mtu = ntu, mzee = nzee, mkapa= nkapa
 
Mimi ninasoma na jamaa mmoja mHausa wa Nigeria, anazo. Ila zake ni (samahani naomba niandike kwa Kiingereza) 3 horizontal, linear scars on either cheek. Halafu bahati mbaya nadhani yeye makovu yake ni yale ya kutengeneza "keloid" (yaani kovu linakua kubwa kuliko kawaida). Kulingana na Wanaijeria, kabila la Hausa bado hadi leo hii 2009 wanaweka watoto ndonya kama hizo
 
Tattoo started from them! Leo hii Mike Tyson akiweka tattoo wanadai anapendeza wakati ameiga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom