Wamakonde

Wamakonde

Makonde_woman-546x600%5B1%5D.jpg

What's wrong with wamakonde jamani???? have u been huko kwa Zulu Nathal au West Africa??? hizi ndio mifano hali ya kijadi iliyo baki jamani. ivili ulisha waona wale ndugu zetu wa kule kusini mwa Austaria kuanitwa visiwa vya Papa new Guinea?????

 
hadi raha bwana wewe baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hawa wamakonde wanawake wana sifa moja, mwanaume akidandia lazima amfunge kamba, vinginevyo wengi wamejikuta mvunguni mwa kitanda!!! Ni wakali sana kwa 'kuzungusha'!
 
Baaaa hawa somo sio wamakonde. Hawa wanaitwa wamavia. Na huyo aliyenkasema walifanya kukwepa utumwa sio kweli, walifanya hivi kunkwepa nleno wa nchumbiji. Mwana n-digidigi kulambiyu uchi dachi wako?
 
Ncheme, nchicheme. Uchiteme uchimungunye. Tattoo za enzi hizo, leo zi i i i i po?
 
UNAJUA KWAMBA MMAKONDE NDIYE WA KWANZA KUINGIA ULAYA AU UNAONAJE HAPO NDIYO MWANZO WA TATOO ZENU
cONQUEST-CULTURAL REMAIN THE SAME ONLY PEOPLE CHANGE-YAMBONE YAMBONE:mwaaah:
 
Hawa ni wamawia wanapatikana Msumbiji(mpakani na Tanzania), wana undugu na wamakonde. Huwezi kukuta mmakonde kajichora namna hiyo!

Kasome tena historia Mkuu! Au ndo nyie mnaojitambulisha kuwa ni wamakonde wa Tanga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom