Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,415
- 23,342
Hahahaha htre sana Ila so mbaya makabila mengi nilichokuja gundua Yana shepu za kawaida Ila mnavyowaponda Chaga beibezShepuless, weusii tii, ufupi, etc.
Ila tunajikubalii hatariiii. 😂😂😂😂😂
Tena wanawake wa kusini wana miili mikubwa na ufupi basi tafrani tupu