Wamakonde mna nini lakini?

Wamakonde mna nini lakini?

Nkajua kina mapunda, ndumbaro, ndomba
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapana.
Ila sisi wa kunyumba, majina ya ubini wetu ni kisanga, tena ubini wangu mie ndo nachoka kabisa, yule mnyama kakaa kichawi chawi, uchuro uchuro, gundu gundu, nuksi nuksi. Nachoka haswaa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapana.
Ila sisi wa kunyumba, majina ya ubini wetu ni kisanga, tena ubini wangu mie ndo nachoka kabisa, yule mnyama kakaa kichawi chawi, uchuro uchuro, gundu gundu, nuksi nuksi. Nachoka haswaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bundi au
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapana.
Ila sisi wa kunyumba, majina ya ubini wetu ni kisanga, tena ubini wangu mie ndo nachoka kabisa, yule mnyama kakaa kichawi chawi, uchuro uchuro, gundu gundu, nuksi nuksi. Nachoka haswaa.
Mbawara, litunu, shigunu, ngokwa🀣
 
Kuna mtu mmoja amewahi kusema ntwara(mtwara ) haikuwa ndani ya Tanzania bali ulikuwa ukanda wa Msumbiji, Yawezekana yakawa ni ya kweli mimi sina uhakika.
Dondoo hizi zinahusu mambo ya kunishangaza ambayo nimewahi kuyaona ntwara
1. Ukitembea muda wa mchana utaona kana kwamba mji una vijana wa kiume tuuu wakike namba ikiwa chache saana na binti ukimuona full juba juu hadi chini,
Sasa tembea usiku kuanzia saa mbili hadi saa 10 usikuπŸ˜ƒπŸ˜ƒ idadi ya wanawake inazidi wanaume na hutaona juba hata moja.

2.Bei ya samaki ni kubwa utadhani bahari ipo Songea
3.Kila mtu ni mjuaji saaana ,hata kama hajui jambo ataelezea kwa kina na ubishi juuπŸ˜†πŸ˜†

3.Watu waliopanga sehemu moja wanachukuliana wake au waume na wanajua kuwa wanachukuliana na wanakaushaaa kama hawajui kinachoendelea(kiufupi hawana wivu )

4.Mabinti wana sauti sana kwenye familia zao kwa kuwa hutegewa kuongeza kipato hasa kwa masingle maza

5.Wauza mkaa zaidi 97% hawana simu za mkononi , hivyo ukiitaji mkaa subiri njiani apiteπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

6.Kama umejipanga kumpa mimba binti wa kimakonde hata awe mwanafunzi jua umefail, mbaka aamue yeye kuipata mimba hiyo maana P2 wanatumia hata wa shule za msingi
7.Mtwara ni mkoa unaoongoza kulima korosho , Sasa njoo ununue korosho hapa mjini utaona kilo moja ni kiasi ganiπŸ˜‚πŸ˜‚ ,yaani hata wenyeji wanaziangalia tu
8.Mtu mzima wa miaka 50 anaweza tukanana na kijana wa miaka 13 kwa matusi mazito na watu huona kawaida tu
9. Wamakonde wakishika pesa wanasahau kama kutakuwa na Shida badae, hutumie pesa zoote na unarudi kwenye ukata tena na anajifariji kwa kusema MAISHA NI HAYAHAYA
11. 99.9% ya mabinti waliopanga utakuta wana watoto ila wamewaacha kwa wazazi wao, you know what I'm trying to say? πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ jichanganye uone
12.Takwimu za haraka ni kwamba wanawake wengi wameshazoea kuingiliwa nyuma (I'm not so sure for this)
Kuna mengi saana, kama nawewe umewahi kufika mtwara na una jambo hebu lishushe tulijue
Asanteni nawasilisha
Nilitia maneno mwali mmoja wa kimakonde hapo mjini mtwara akanijibu
"Kama uninipenda jikutanile baba" niliuliza kama mara 3 hivi akawa anarudia yale maneno🀣🀣🀣🀣 nikayabeba nikayapeleka kwa mwanangu majani! Alichonijibu 🀣🀣🀣🀣🀣 khumannaaa
 
Alichopewa na Mungu kwanini akunyime.Tulia ujilie tararibu acha kelele.Wanajua kuikatikia hadi unaweza kuvunjika.Ukiwa unarudi shuka hapo Rufiji uone mishanga kama yote
 
Hapo kwenye Korosho sawa, nilitest bei yake balaa.

Nikarudi kununua Dar Kisutu


Mengine ndio nayasikia leo, sijawahi test
 
Ni baadhi Yao ila wengi ukipata umepata kweli package ya maana

We una umri gani? Utakuwa umepata mwizi wa kirangi amekuwekea Li-Mbwa- ta. Hujielewi. Warangi hawa ambao hawajui kusema No? Hawa hawa maharagwe ya Mbeya? Ila wapole na kama wana aibu vile kumbe wezi, malaya, makahaba na mengine ya kuwasitiri. Wewe tayari ushachezewa.
 
Duuh htre sana nasikia wangoni wanapenda ngono πŸ˜‚ na shepu zenu za kichaga
Kupenda ngono nakubalii, tunapenda mizagamuo hatari, bora tukose kula ila sio mnyanduano.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bwana weweee usntishe ntauza kolosho ntanunuaaaa


Oya makonde ni balaa vipi kuhusu tone yao ya kuongea sio kwamba kama wanabishana muda ote?
 
Back
Top Bottom