Wamakonde kwa biashara bana,hadi raha!

Wamakonde kwa biashara bana,hadi raha!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Jamaa kaenda kununua mananasi kwa mmakonde ili akatengeneze juice, akamuuliza mmakonde nanasi moja sh ngapi? Mmakonde akasema kila moja sh 500,Jamaa akamwambia nipe ya sh elfu ishirini, ndipo mabishano yakaanza,mmakonde akadai "Ukichukuwa yote mi ntabaki nauza nini sasa"? Bora Uchukue hata ya sh elfu tano tu"!
 
Ha ha ha,mbavu zangu mie!cha cha atauza nini mwenzenu?ha ha
 
Hata ungekuwa wewe!, umetoka home kwenda kazini (kuuza Nanasi) alafu muda si muda mtu eti ananunua nanasi zote sasa unataka ukalale?

una maana kuwa ukae nayo uonekane uko kazini. Yakiuozea?
 
Jamaa kaenda kununua mananasi kwa mmakonde ili akatengeneze juice, akamuuliza mmakonde nanasi moja sh ngapi? Mmakonde akasema kila moja sh 500,Jamaa akamwambia nipe ya sh elfu ishirini, ndipo mabishano yakaanza,mmakonde akadai "Ukichukuwa yote mi ntabaki nauza nini sasa"? Bora Uchukue hata ya sh elfu tano tu"!

Lakini kweli, akichukua yote huyo mmakonde atapoteza kibarua kesho yake!
 
Bila chaka huyo nmakonde alikuwa ni N'jomba Nchumali..hukumuangalia vichuli?
 
Hata ungekuwa wewe!, umetoka home kwenda kazini (kuuza Nanasi) alafu muda si muda mtu eti ananunua nanasi zote sasa unataka ukalale?

hebu acha ulofa na wewe! yakiisha si unaenda kulangua mengine unakuwa umefaidi
 
aisee kumbe ndo maana wachaga huwa wanalalamika humu, aisee ukitaniwa karoho kanauma, mhhhhhhhhh! naona leo nimekamatwa pabaya. haya bwana ngoja nikae kimya nisije nikaluz control
 
hahaha umenikumbusha mmakonde mmoja kanisan kwetu siku ya ubatizo wake padre akamuuliza jina analotaka kubatiziwa akasema yeye anataka kuitwa Yechu krichu nchalabani
 
Njomba utani mi chitaki, wengine nnatoka chenu arucha uchi chichi hatuchemi; ngombe kaka uchi na nchungaji naye kaka uchi, baa chomo nguo hakuna arucha?
 
Bah! Bwana wewe....kwani tumewakosea nini? Ntu unaacha kufanya mambo yako unatufuatilia wamakonde....chee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom