Wamachinga hawataki kuhama, hawana eneo mbadala?

Explainer

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
517
506
Heshima kwenu wakuu. Kwa upande wangu nimeshqngazwa sana na wafanya biashara ndogondogo (wamachinga wa hapa kariakoo DSM) yaani askari wa jiji hata watumie ndege za kivita kuwafukuza hawatoweza,
yaani askari akipita upande huu, wao wanaamia upande ule, hapo ni full chenga, unawatoa hawa wanakuja wale, yaani hawaishi kama jeshi la wa Vietnam,
sasa imekuwa kama uonevu kwao, maana ukiona mpangaji kagoma kuhama ujue huyo hana pengine pa kuhamia!! Tuwape njia sahihi ndugu zetu hawa watafuta kesho bora.
 
Back
Top Bottom