Wamaa wa kichaga na wakizaramo kwenye simu

Wamaa wa kichaga na wakizaramo kwenye simu

god with us

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2013
Posts
391
Reaction score
100
Phonebook ya mmama wa kichaga:
1.dokta wa ng'ombe
2.masawe muuza pumba
3.pickup ya majani
4.kijana mkata majani
5.juma muuza vifaranga
6.fundi banda
7.machine ya kusaga
8.muuza maparachichi
9.muuza bucha
10.fundi garage
11.kijana muuza duka
12.mama muuza soko
13.dereva tax
14.n.k

Phonebook ya mama wa kizaramu utakuta
1 .msasambuaji
2.mpiga ngoma
3. muuza shanga
4. mganga wa jadi
5. muuza urembo"
 
[ +255 777 410 545 =god with us;9424694]Phonebook ya mmama wa kichaga:
1.dokta wa ng'ombe
2.masawe muuza pumba
3.pickup ya majani
4.kijana mkata majani
5.juma muuza vifaranga
6.fundi banda
7.machine ya kusaga
8.muuza maparachichi
9.muuza bucha
10.fundi garage
11.kijana muuza duka
12.mama muuza soko
13.dereva tax
14.n.k

Phonebook ya mama wa kizaramu utakuta
1 .msasambuaji
2.mpiga ngoma
3. muuza shanga
4. mganga wa jadi
5. muuza urembo"[/QUOTE]
 
No wonder why wanawake wa mikoa ya kaskazini wana maendeleo, co hawa wa kusini mashariki wanaokaa vijiweni, jua likisogea nao wanasogea.
 
wachaga wanapiga kazi hakuna umbeya wala uswahili
 
Back
Top Bottom