Waluyha na msosi

CD2JsC3UsAAKdA2.jpeg
 
Hehehe!! Hapo kweli bila herufi 'U' kukuzwa ni ukosefu wa hesima, halaafu kunao Wasukuma Tz hutaniwa sana kwenye hili la Ugali, check picha zao...Hadi nahisi njaa sasa, ila hata mimi likija suala huu msosi wa 'Ukali' sipendi utani maana kawaida lazima niuchezee...

f01527a7e306ee6cee0bd8ea0d4318a1.jpg


IMG-20141211-WA0007.jpg

Ahaaa haaa haaa
mi naona hawa jamaa nina unasaba nao.
MAANA mimi kipindi chote nakua nilikuwa sijawahi ona mtu anakula chips na kweli anaenda kulala usiku.
kula chips nimeanzia university.
miaka yote ni dona tu.
 
Back
Top Bottom