David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,559
- 8,410
hivi lutheran huwa kuna walokole, nawafahamu hawa wa katoliki wanaojitenga. mwaka sasa sijakanyaga kanisani kwangu lutheran ngoja nijipange chrismass niende.Inategemea umekutana na walokole wa wapi! Walokole wengi wa makanisa ya Kipentekoste na Assemblies of God ndio wana nyodo sana. Wao hupenda kujiona ni bora kuliko watu wengine. Ila ukikutana na walokole wa Lutheran au Wakatoliki huwa ni watu poa sana...
Eeeh! Tupo tumejaa tele... Karibu sana tukuinue kiroho...hivi lutheran huwa kuna walokole, nawafahamu hawa wa katoliki wanaojitenga. mwaka sasa sijakanyaga kanisani kwangu lutheran ngoja nijipange chrismass niende.
Kwa iyo watakaokutukana ni walokole?Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB:Matusi sitaki tafadhali
Kwa mvao huo, bora walokole.Walokole ni watu wa ovyo sana
Uko sahihi kabisa mkuu.Waloloke, wakatoliki karismatiki, waislam sala 5 na wasabato ni watu wabaya sana. Zaidi ya unavofikiria. Ni wachoyo na wana roho na chuki za kichoyo. Nakuambia kutoka kwa experience.
Hawa watu wa dini dini ni watu wabaya sana.
Bora sisi tusio na dini lakini tunaishi ktk misingi ya "RIGHT na WRONG"