Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.
Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.
Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.
Asilimia kubwa ya walokole ni matapeli. Kama yule ''prophet'' Malisa unasema ni mlokole? Gwajima naye? Mzee wa upako? Yaani list ni ndefu...Mods naomba msaada Uzi uende hoja
SureHabari wakuu,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.
Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.
Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.
Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.
Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.
Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.
Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.
Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.
Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.
Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.
Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.
Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.
Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
Wanaojiita walokole ni watu hatari sana. Zamani ndiyo kulikuwa na ulokole ila siyo sasa.Sijasoma uzi ila mnaojiita walokole mna mazito kuliko sisi mnaotuita wenye dhambi
Wanaojiita walokole ni watu hatari sana. Zamani ndiyo kulikuwa na ulokole ila siyo sasa.
Ni ulimbukeni kubagua watu eti kwa sababu hawajaokokaHabari wakuu,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole tunakosea ni hapo pa kujitenga na wenye dhambi.
Wokovu tunaupata kwa neema ya YESU mwenyewe, na hata kabla ya kuokoka wewe ulikuwa na dhambi.
Iweje Leo umeokoka unajitenga na wengine na kijiona Mtakatifu.
Yesu mwenyewe alikula na alikaa na wenye dhambi, hata wale waliotaka kumuua alikuwa nao.
Pia aliwajua, hilo halikuwa kawaida ila alikaa nao na kuongea nao.
Sasa iweje wewe uliyeokoka unashindwa kukaa na mwenye dhambi ikiwa tu huyo unayemuamini alikaa nao.
Kumbuka umepata neema ya kuokoka wewe ili uokoe na wengine na sio kujitenga nao.
Sasa wewe umeokoka unajiita mlokole wakati sio mwanafunzi wake, ukiokoka ndio ushakuwa mwanafunzi unatakiwa na wewe utangaze neno watu waokoke.
Kuokoka kwanza lazima uwe na Upendo, sasa umeokoka unachukia wenye dhambi umeokoka au unajidanganya.
Unasengenya watu, badala ya kuwaeleza kwa upendo namna ya wewe ulivyopata neema na wao wajue kuwa Yesu ni Bwana.
Kama walokole wangekuwa na Upendo wa kweli wa kukaa na wenye dhambi na kuwapa elimu ya kuwa hata wao walikuwa na dhambi ila Sasa wameokoka.
Hakika watu wangemjua Yesu Kristo kwa wepesi sana, ila majungu, masengenyo na kujitenga, ndio kunafanya watu waone Wokovu hauna faida.
Walokole tuache ubinafsi na tupende wenye dhambi..
Mafundisho haya yaliwafanya wayahudi wamuone Yesu kama mwenye dhambi maana mara zote alikuwa anashinda na wale ambao hawakuonekana wenye haki..Ila mwisho wa siku alikuja kuwambia huwezi washa taa then ukaiweka uvunguni na mifano mingi sana alijaribu kuiweka wazi ili watu waelewe kwamba hakuja kwa ajili ya wenye kujiona safi bali wale ambao ni wadhambi.Zab 1:1-2
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wakosaji; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha. Bali sheria ya BWANA ndiyo impendezayo, Na sheria yake huitafakari mchana na usiku.
Neno la Mungu linawasihi kabisa, usiende pamoja nao wenye mizaha. Wenye mizaha na wasio haki ni wenye dhambi. Huwezi kuwa umeokoka huku ukiambatana na waasherati, wasengenyaji na wale wote wasiompendeza Bwana.
Waswahili wana msemo usemao, kaa karibu na Waridi unukie waridi.
Walokole wapo sahihi..
Kumbe umeokoka? Huwa mnasikiliza sana wachungaji na kuvuruga mahusiano na ndoa za watu! Vipi wewe unatumia akili zako au umeshikiwa na baba mchungaji!Kama kuna kitu ambacho ndugu zangu walokole
Mistari mnakariri tu ila hamuifanyii kazi, ndomana sijaweka hapo...Kwa nini hujaambatanisha na mistari mama mchungaji?
".... Tokeni katikatu yao mkatengwe nao....." mtume Paulo alisisitiza sana kwa wakristo kujitenga na wahuni sasa wewe unataka tuungane nao?
Sikuelewi.
Walokole tuache kujitennga na wenye dhambi... hii ina tofauti gani na yule aliyemsema Yesu ambaye alikuwa anasali huku akimnanga mwenzake. Walokole bwanaHabari wakuu,