WALOHODHI ARDHI KIAMA

laptop67

JF-Expert Member
Jun 28, 2016
350
220
Hii maneno imetamkwa na waziri wa ardhi,amesema haijalishi la mkubwa au mdogo,mi namuunga mkono100% na kwa kuanza achukue lile shamba la alokuwa rais 1995-2005 huko mapinga na pia la yona bila kusahau ardhi yooote aliyojimilikisha mtangulizi wa jpm
1483083419875.jpg
 
so what? na yeye akashike maeneo asitutishe km alichelewa huu ndo muda muafaka sababu kila kitu kiko mikononi mwake. Matamko yamekuwa mengi wapime kwanza ardhi waiongeze thamani ndo wataweza kuwa na sababu za kufanya wanayoyataka vinginevyo sisi huku tunawashangaa na maisha yanaendelea,atatoka atakuja mwingine wanazidi kuandika vitabu vya historia tu.
 
Hana ujanja mpana.
Watakaoguswa ni .. Wageni na wahindi.
Chadema
Na wafanya biashara wakubwa ambao hawataki kuichangia ccm.
Wengine hawataguswa kina mkapa na mwinyi na watoto wao hawataguswa hata kidogo
 
Hii maneno imetamkwa na waziri wa ardhi,amesema haijalishi la mkubwa au mdogo,mi namuunga mkono100% na kwa kuanza achukue lile shamba la alokuwa rais 1995-2005 huko mapinga na pia la yona bila kusahau ardhi yooote aliyojimilikisha mtangulizi wa jpmView attachment 451958
Haya ni maneno tu hata kwenye kanga yapo kama kweli ana nia thabiti akachukue kwanza shamba la mkapa lipo bagamoyo linazalisha majoka tu na sio kutafuta kick ya kufungia mwaka
 
Back
Top Bottom